Kutokujiamini kwa Mrisho Mpoto

mludego

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
2,395
3,197
Mrisho Mpoto,sijui kwanini huwa hajiamini ktk Muziki.

Kila wimbo anaoimba lazima afanye Featuring na msanii mwenzake ili abebwe ktk kiitikio(chorus) bila ya hivyo jamaa angekua bado ni msanii chipukizi(underground).

Kama anajiamini awe anasimamia wimbo yeye mwenyewe la sivyo aendelee
KUMWAGA RADHI.
 
Nadhan ni kawaida na ndo staili yake hivyo usimpangie!. Kwa sisi wahenga kuna mmarekani mmoja kwa jina Jah Rule alikuwa haimbi mpaka afanye featuring na msanii mwingine!
 
Simpangii ila nakosoa kwania ya kumpatia changamoto.
 
Nadhan ni kawaida na ndo staili yake hivyo usimpangie!. Kwa sisi wahenga kuna mmarekani mmoja kwa jina Jah Rule alikuwa haimbi mpaka afanye featuring na msanii mwingine!
Sio kweli, ule Holla Holla alifanya featuring na nani?
 
Back
Top Bottom