Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,067
Katika pitapita zangu Youtube, nimemwona huyu chalii amefanya cover nzuri ya Je, Utanipenda nikamwelewa sana.
Kwanza ana sauti nzuri, ana mwonekano wa kisanii, anaonekana ni mpole na hana makuu..
Kusema ukweli nimeona cover mbalimbali za watu wakifanya ila huyu ameitendea haki haswa.. He's seriously serious..
Namshauri Diamond Platnumz wakati anafikiria kuongeza kichwa kipya ktk timu ya WCB, amfikirie huyu jamaa, japo tetesi zinasema ana mpango wa kumsajili msanii wa kike this time!