Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wakazi ameshindwa kuvumilia na kutoa ya moyoni kuhusu msanii was kike Rosa Ree, Wakazi Amefunguka kuwa baada ya Vanessa Mdee Msanii anayefuata kwa juhudi katika mziki ni Rosa Ree , Ameandika haya...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) ambaye pia ni msanii nguli na mkongwe kwenye game ya hip hop ya bongo, anatarajia kuachia kazi yake mpya hivi karibuni aliyoipa jina la namba yake ya...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Mkoa wa Mbeya ni mkoa uliojaliwa kuwa na vipaji sana. Leo naona tuwakumbuke kwa kuwataja hao watu wenye asili ya huko na waliouletea mkoa huu sifa kubwa ndani na nje ya Tanzania 1. Omary...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Pole sana Ruge,,ile Degree yako ya marketing uliyosoma USA haikusaidii sana Mkuu.. Hili kwa sasa linalokutokea puani kijana wewe wa miaka 49 nadhani hukusoma alama za nyakati na bahati mbaya...
19 Reactions
167 Replies
22K Views
Wazazi waleeni watoto wenu katika njia sahihi. Miradhi bora kwa mtoto ni maarifa mema na si hulka za kijinga na angamizi. Mama msaidie huyo binti. Kuolewa siyo mtaji wa maisha. Angalua siyo...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Mwanamfalme wa Uingereza Harry na mchumba wake muigizaji wa Marekani Meghan Markle watafunga ndoa mwakani, taarifa iliyotolewa na makazi ya kifalme ya jijini London (Clarence House) imeeleza...
6 Reactions
1K Replies
93K Views
Daaah Wanaume wa Dar Tenaaa!! Ndugu wanaJF, Rapa wa Kike Chemical akihojiwa Leo na Enewz ya EATV amesikika akitamka kuwa Bikira yake pendwa alokuwa ameitunza kwa muda mrefu hatimaye imetolewa...
4 Reactions
49 Replies
11K Views
Nimeona kila sehem watu wakimpreshalaizi Diamond kuwa arudiane na mama watoto wake bi Zarina Hassan. Na hiyo ni baada ya wimbo wake wa iyena kutoka huku video vixen akiwa ni bibi Zari so baada ya...
12 Reactions
103 Replies
17K Views
Sio Bongo tu ambapo wanawake hujiongeza kwa kuuza pete za uchumba pale mambo yanapokwenda kombo. Mwanamuziki tajiri duniani, Mariah Carey ‘ameipiga bei’ pete ya uchumba aliyovalishwa na mchumba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ngoja tupunguze stress za vyuma kidogo maana hali tete kila siku wikiendi hii mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] Jana ilianza hivi mambo ya Iyena hayoo... Leo...
9 Reactions
280 Replies
29K Views
Licha ya kutokuwanayo simu ya kupangusa kama wenzangu wa 'mujini' bado sijabaki nyuma kuhusu updates za kila muda zinazoendelea kudrop ulimwenguni, ahsante teknolojia kwa ufea wako utofauti upo tu...
1 Reactions
44 Replies
8K Views
Ni Mtangazaji ambaye ukiwa unamsikiliza akitangaza au hata akiwa anachangia mada fulani katika Kipindi chao cha asubuhi hutopata shida sana kujua ya kwamba lazima tu alikuwa na Mahusiano mabaya...
13 Reactions
63 Replies
16K Views
Msanii huyo ameandika haya... "Alhamdulillah Asantee Mungu kwa hiki ulichonipa naishukuru management yangu Chambusso na Mxcarter, nakupenda Mama yangu kokote ulipo kila hatua dua 'new car' Umma...
40 Reactions
165 Replies
40K Views
Machungu unapozimwa,ili ufunikwe na asiyeweza/ Mbaya zaidi wanampa Promo halafu kwenye Show unammeza/ hautaki kuwa tatizo sababu unaweza tatuka/hauwezi jua wapi nitatua ka Jiwe gizani...
2 Reactions
27 Replies
21K Views
Katika pitapita zangu Youtube, nimemwona huyu chalii amefanya cover nzuri ya Je, Utanipenda nikamwelewa sana. Kwanza ana sauti nzuri, ana mwonekano wa kisanii, anaonekana ni mpole na hana...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Eti kat ya diamond na ben pol nan mkal nisaidien hapo.
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Baada ya masaa takribani 13,tangu hit maker wa African Beuty na King of Pop in Afrika ambaye bado anasumbua na ngoma aliyoshirikishwa na harmonize "Kwangwaru,Diamond Platnumz maarufu kama Chibu...
6 Reactions
111 Replies
17K Views
Hii ni makala inayohusu malejendari wa muziki wa hiphop duniani ambao mpaka leo hii wanaheshimika na kuenziwa duniani kote na wapenzi wa muziki kutokana na kutendea haki tasnia ya muziki wa kufoka...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dogo janja ambaye sasa hivi ameachia video ya wimbo wake mpya wa 'Wayu wayu' na kuacha gumzo kwa mashabiki kwa kuvaa uhusika wa mwanamke, na kusema kuwa mke wake...
1 Reactions
86 Replies
22K Views
Back
Top Bottom