Exclusive pic: Diamond ndani ya mjengo na wanae

Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,164
2,000
Wasafi TV kupitia instagram account yao wamepost picha ya kwanza ikumuonesha Diamond Platinumz akiwa South Africa na wanae. Bila shaka hii ni habari njema mno kwa team Diamond na team Zari, na wale wote ambao walikuwa wanaiombea hii couple imalize tofauti zao.
IMG_20180606_232000.jpg
Nikiwa kama mmoja wa shabiki mkubwa wa Diamond nawapongeza yeye na mzazi mwezie kuanza kupunguza tofauti zao, ila Diamond ajitahidi kukaza zipu, aache kufunguafungua kila apoona sketi.
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
43,878
2,000
Wasafi TV kupitia imstagram account yao wamepost picha ya kwanza ikumuonesha Diamond Platinumz akiwa South Africa na wanae. Bila shaka hii ni habari njema mno kwa team Diamond na team Zari, na wale wote ambao walikuwa wanaiombea hii couple imalize tofauti zao.
Nikiwa kama mmoja wa shabiki mkubwa wa Diamond nawapongeza yeye na mzazi mwezie kuanza kupunguza tofauti zao, ila Diamond ajitahidi kukaza zipu, aache kufunguafungua kila apoona sketi.


Mwanaume unaweza ukawa na Wanawake wengi / lukuki ila pia huwa yupo mmoja ambaye ndiye ameshikilia ' Nyota ' yako ya Kimafanikio. Hapa wala huhitaji kupepesa macho, kutikisa masikio wala kumung'unya maneno kwamba Mwanamke pekee anayeshikilia vyema ' Nyota ' ya Kung'aa ya Diamond Platinum ni Zari pekee na hao wengine anaokuwa nao ni ' Wafifisha ' nyota yake tu watupu!

Mimi mpaka leo nina mwaka wa 17 sasa sijapa bahati ya kuwa na Mwanamke mwenye ' Nyota ' kali ya Kunifanikishia maisha yangu sana sana wengi ninaowapata naona ' Nyota ' zao Kwangu ni kunifanya niugue tu Malaria mara kwa mara utadhani hawa Mbu nawaumba au nawahifadhi Mimi Chumbani mwangu / kwangu.

Halafu tuacheni ' Unafiki ' Diamond anapendeza sana akiwa na Zari kuliko na hawa ' Visokolokwinyo ' wa Kitanzania.
 

venine

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
1,449
2,000
Great re-union. Ni vizuri familia ikiwa pamoja. Mkishakuwa na watoto, ni kawaida kusameheana na kuendelea na maisha.
 

naumbu

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
4,718
2,000
Hivi kutembelea watoto kwa mzazi mwenzio ndio kurudiana?kwa hii mentality ndio maana tunawaponda na tunaogopa kuoa single mothers humu maana baba mtoto akimuona mwanae tunaamini wamerudiana;au wenyewe wametangaza kurudiana?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom