Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wadau niaje,e bwana kuna mrembo alikuwa ana-hit sana miaka ya 2006 kwa kushiriki kwenye video za wasanii wa mamtoni,nasikia amekuwa-deported,sasa sijui yupo wapi kwa sasa? ::::deportee - a person...
2 Reactions
47 Replies
18K Views
huyu dada kwanini anakomaa tu na Diamond na sio majizzo aliyezaa nae mtoto wa kwanza? Kama utajiri mbona majizo ana pesa kuliko daimond? Au anafuata jina? Ama sababu Lulu alimtoa kwenye reli na...
3 Reactions
40 Replies
8K Views
Yeah ni kwa mara nyingine tena!! Leo nataka wale wajuvi wa kufuatilia celebrities uchwara Jenifer na Patrick kanumba hivi hawa watoto Wanasoma kweli? Maana naona daily kutafutiana followers...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
XXXTentacion. MMOJA wa watu wanaotuhumiwa kumwua mwanamuziki wa Marekani, XXXTentacion, aliyetajwa kwa jina la Dedrick Williams, amekamatwa. Mwanamuziki huyo aliuawa na watu wanaosemekana...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Pole kwa boss Ruge aliyotoa msanii RamaDee uko insta imemletea utata kwa B12.
0 Reactions
46 Replies
11K Views
Ukiachana na yule muimba kaswida mwenye aibu aibu nyingi pindi akiwa jukwaani ambaye pia inasemekana ni nyoka wa kibisa Mr Lavalava , mpaka leo sielewi kigezo alichotumia diamond kumsajili huyu...
4 Reactions
89 Replies
16K Views
Huyu mtoto huwa ananikosha sana na ndio aliyefanya niwe naangalia siri za familia. .
1 Reactions
77 Replies
15K Views
Msanii TID amesema kuwa utaratibu wa wadau/media kushusha wasanii pale wanapodai maslai yao na kuwapandisha wengine ndio kitu kinaathiri muziki wa Bongo Flava. Muimbaji huyo ameeleza kuwa kitu...
3 Reactions
38 Replies
7K Views
Mtoto kama huyu alitakiwa awe shule anasoma ikifika saa nne anaenda kunywa uji na wenzake. Lakini ona mambo anayofanya, kweli ana wazazi huyu mtoto?! Au ndo wale mnasemaga watoto...
1 Reactions
121 Replies
19K Views
Brother Chibu/Simba/Dangote/Sukari ya Warembo/Rais wa WCB/Domo/ Mzee wa TUMEWASHA ngoja niishie hapo. Sasaaaa hebu sawazishaaaa/Lipa kisasi cha Kiba na Samatta kwa jamii ya Watanzania ili nawe...
6 Reactions
21 Replies
4K Views
Huyu ni msanii kutokea kule kigoma amefanya ngoma kali miaka kadhaa iliyopita nyimbo ya mwisho kufanya vizuri ilikuw ile aliyemshirikisha diamond salima ila sasa hiv mshkaji anajitahidi kurudi...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Watanzania wengi washamba sana.. Baba Nyerere angefufuka leo nadhani angewatia mboko asilimia 80 ya watanzania wote kwa akili zenu zilizojaa upupu. Mzee nyerere hakuacha taifa la majitu majinga...
7 Reactions
68 Replies
8K Views
Hii ni remix ya wimbo wa Ace Hood wa "ride" ambao model wa Kitanzania Cynthia Masasi ana cameo.....bonyeza hapa YouTube - ACE HOOD - RIDE REMIX (WORLD PREMIRE) RICK ROSS JUELZ TREY Anaanza...
0 Reactions
101 Replies
18K Views
Wakuu tatizo ni nini? Bongo fleva tuwapongeze wanajitahidi sana, sasa Bongo muvi hata quality za video wanashindwa Tuwape miaka 100 ijayo
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama kionjo kilivyo .. Wakongwe Wa bongo flavour.. Mnazungumziaje ujio huu wa Nature.. 'unayumba' !? Watoto kalaleni..
2 Reactions
49 Replies
9K Views
Beat iliyotumika kwenye nyimbo ya lavalava kilio ndo beat beat iliyotumika kwenye nyimbo ya diamond sijaona na mpoto nimwage radhi ft harmoniz Jamaa ni producer mzuri isipokuwa ndo hivyo anakariri...
0 Reactions
40 Replies
11K Views
MWAKA 1990 akiwa na umri wa miaka tisa, msanii wa Muziki wa R&B alijiunga kwa mara ya kwanza katika shule ya awali ya Parker Elementary huko Houston, Marekani. Akiwa shuleni hapo ambapo pia...
2 Reactions
73 Replies
16K Views
Yule zilipendwa wa sexy lady wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe aitwaye Ramadhan Abdallah Mtoro ' Dallas ' anadaiwa kukumbuka shuka kukiwa kumeshakucha ikielezwa kwamba eti...
0 Reactions
61 Replies
13K Views
Mwanamasumbwi wa Marekani Floyd Mayweather ametetea taji lake katika porodha ya Forbes ya wanamichezo wanaopata mapato ya juu zaidi duniani. Alijipatia kipato cha $275m (£205m) katika mechi yake...
1 Reactions
51 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…