Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Genius Kadungure aka Ginimbi ni raia wa zimbabwe ambaye alizaliwa tarehe 10 October 1984,Mwaka 2000 alianza kujishughulisha na uuzaji wa mitungi ya gas na kuanza kusupply majumbani,alifanya...
11 Reactions
299 Replies
78K Views
Vanessa alitumia akili ya kuzaliwa kujiondoa kwenye uswahili. Akajiweka sehemu inayoeleweka. Fikiria mpaka leo angekua bado anatembelea IST na kubebeshwa unga ingekuaje?
17 Reactions
109 Replies
9K Views
taarifa nilizopata muda si mrefu mwandishi wa habari aliyejipatia umarufu kwa kufichua rushwa za trafiki naye amekamatwa kwa kuomba rushwa ya milioni 10 ==== MAHAKAMA jijini Dar es Salaam...
1 Reactions
1K Replies
142K Views
Chivh ni mji mdogo wenye mkusanyiko wa wakazi laki moja na elf 13. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2017. Mji wa Chivh upo umbali wa kilometers 141 kusini mwa jiji la Harare. Njia kuu ya...
3 Reactions
63 Replies
6K Views
Wakuu Ebu tumjadili huyu kijana ambaye amereform kutoka kuwa shoga mpaka kuwa kondoo wa Bwana. Huyu jamaa nijuavyo hana kazi yoyote ya kumuingizia kipato.ila nashangaa anajimwambafai eti anataka...
12 Reactions
275 Replies
12K Views
Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011...
27 Reactions
523 Replies
94K Views
Joyce Mbaga (32) maarufu kwa jina la (Nicole Berry) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam mbele ya Hakimu Ramadhan Rugemalira kwa tuhuma za kupokea...
10 Reactions
170 Replies
10K Views
Gazeti la Sani laandika kwamba Mawaziri wawili, Sophia Simba, na Shamsa Mwanguga wamekutwa gesti ya Mikumi Inn, Magomeni, Jumapili iliyopita. Wamepiga picha ya magari yao, STK 4472, na T274AOD...
1 Reactions
39 Replies
10K Views
Huyu Dada tangu nifahamu habari zake mara zote nimemsikia akiumwa na akiomba misaada ya matibabu. Sina Nia mbaya na wala sina shida yoyote na kuomba kwake, Bali nauliza tu kwamba Je huyu Dada ni...
32 Reactions
156 Replies
9K Views
Hakika hiki kimbunga cha Ibrahim Traore hakizuiliki. Huenda hata kukiita kimbunga ni kutokukitendea haki. Hili ni tsunami kabisa. Mwanamuziki nguli wa R&B kutoka jiji la Chicago, jimbo la...
20 Reactions
65 Replies
4K Views
Nilikua najaribu kuperuzi mtandaoni nikaona BET Awards 2025. Nikasema ngoja nijisomee nione kama nitaona jina la Simba au Tembo au Chui wala yule anaye imbaga Nanyanyaswa. Nimeambulia kuona...
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Ni huzuni sana, tena sana. Yaani unapokuwa na kipaji, unapoanza kuwa juu, kuna watu wanaanza kutafuta njia ya kukuangusha. Msanii wetu alikuwa mkali sana, alikuwa na ngoma kali, na alipata jina...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu?? Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana...
65 Reactions
755 Replies
81K Views
Msanii wa Kenya Bien alipata nafasi ya kufanya mahojiano katika kipindi cha Breakfast Club Power New York, Marekani, ambapo aliongea mambo mbalimbali ikiwepo hali ya siasa nchini Kenya. Amesema...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Huyu Masai Hana muda sana tangu aingie au kujiunga social media kama Instagram na TikTok ila followers wanazid Kwa Kasi ya 5G,na Hana hata miaka 4 . Diamond, Millard, Wema, Shilole na wengine...
6 Reactions
60 Replies
4K Views
Aziz Kii mchezaji Mpira raia Burkina Faso kuja nchini kucheza Mpira ilikuwa mpango wa Mungu ili awakutanishe Na Hamisa The mother of our future leader. Tuwaombee Mungu awajalie wapate mtoto...
20 Reactions
62 Replies
3K Views
Hivi huyu mtangazaji yuko wapi siku hizi? Sijamsikia muda mrefu kweli.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ni mwanamke ninayempenda sana. Nampenda Sylvia mwanamke aliyewahi kuvuma katika tasnia ya urembo nchini Tanzania. Kwa sisi wanaume tunaojua mrembo ni nani huyu this woman is real, nampenda...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Jamani super modo Leo ni wedding yake. Anaolewa na nini, mbona kafichwa hivyo.. Au mume ya mutu? ======== Hatimaye mwanamitindo wa kimataifa, Flaviana Matata amekuwa Mrs Massawe. Flavy na...
2 Reactions
140 Replies
68K Views
Kayaandika haya KILA KAZI INA GHARAMA YAKE!! Acha tulipe gharama ya tulichoitiwa. NAKUPENDA MPAKA PUMZI YANGU YA MWISHO MKE WANGU. Hili nalo litapita🙏🏿 TUOMBEENI NASI TUNAOMBA. MTETEZI WETU YU HAI🙏🏿
22 Reactions
158 Replies
26K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…