Wakuu,
Ni muda sijamsikia mkali DJ Steve B ambaye binafsi naamini baada ya kizazi cha akina DJ John Dilinga na DJ Bonilove hakuna anayemfikia.
Bongo tumekuwa na tatizo la DJs wanaojua muziki...
Niseme wazi mimi ni mpenzi wa kusikiliza TBC taifa radio,hasa vipindi vyao vya Pwagu na pwaguzi(kinarushwa kila siku ya j3 hadi ijumaa saa 11:45 jioni) na kile cha TUNZA IKUTUNZE(Kinarushwa kila...
Wakati Lemutuz akiwa anamalizia free trial ya mwezi mmoja kutoka gym fulani (jina kapuni),madaktari kadhaa wamecharuka na aina ya upigaji wake wa mazoezi na kudai mambo na mazoezi anayofanya si...
Picha zote tatu3 ni Rihanna akiwa nchini malawi mwezi uliopita,
Hakujali umarufu wake wala uzuri alio nao, alichofanya ni kuyakabiri majukumu ya muda huo kulingana na mazingira,
Alibeba ndoo...
Muigizaji wa filamu na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Faiza Omary maarufu kama Sister Fey yupo chini ya ulinzi kufuatia tabia yake ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii.
Taarifa hiyo...
Hili bifu la clouds fm na WCB kiasi fulani linanishangaza
na linanipa maswali kibao......
But nakumbuka jinsi TID enzi zake anajiita 'TOP IN DAR'
alivyowavimbia clouds hadi siku ile anaitisha...
Ni mda sasa sijamsikia Mkurugenzi wa Clouds Media Ruge na sasa ni msimu wa Fiesta,si kawaida msimu wa Fiesta kuanza bila kusikia neno toka kwa uyu jamaa.Kwa anaejua au fununu atujuze
[Rick Ross]
Tupac and Juice riding [?] on the loose
King James round my neck, haters wish it was a noose
Long Maybach and I wish it was a coupe
Kush out the jar, car smellin' like duke...
Uwa nikisikiliza nyimbo za huyu jamaa uandishi wake uwa unaweza kuwa na tafsiri nyingi kadri msikilizaji anavyo weza kutafsiri.
Leo nimesikiliza tena huu wimbo jamaa yani kaongelea mambo mengi...
Soudy Brown, Maua Sama na Meneja wake(Fadhili Kondo) waachiwa kwa dhamana ya Polisi usiku huu
Watakiwa kuripoti Kituo cha Kati (Central Police) cha jijini Dar walipokuwa wanashikiliwa kesho saa 4...
Mwanamke huyu mpole,mwenye maadili ya Kisukuma na mfanyabiashara ambae ni mmiliki wa Nyumbani Pub iliyopo wilayani Kahama mkoani Shinyanga ni mlimbwende wa haja na ukiiutana nae utafurahia Kwa...
Wakiwa katika Kipindi chao ambacho kilikuwa mubashara kabisa Mtangazaji muongozaji wa Kipindi pendwa na Watanzania wengi hadi Mheshimiwa Rais wetu JPM aitwae Soud Brown amekuwa kila mara akifumba...
. Jamani hapa ndo alipofikia msanii ney wa mitego yaani nimeingia YouTube nimekutana na show take nikashangaa yaan ni msanii ambaye anajishusha thamani tofauti na ney yule wa Nnakula ujana,Mziki...
Polisi inamshikiria mtangazaji Soudy Brown na mwanamuziki Maua Sama kwa kosa la uharibifu wa mali. Inadaiwa wameonekana mtandaoni wakirusha hela na kuzikanyaga
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar...
Wasalaam wana jamvi
Pamoja kuwa tumezawadiwa wasanii wengi sana wa muziki wa kizazi kipya nchini lakini ni wachache sana ambao kila mtu angependa kuwasikiliza au kuwasubiria watafanya nini wakiwa...
Moja kati ya stori zilizosambaa katika mitandao ya kijamii leo kuhusiana na muigizaji Irene Uwoya ni stori ya kudaiwa kuwa alikamatwa na Polisi jijini Mbeya na kulazwa katika kituo cha Polisi...
Sijui inakuaje wasanii wetu wakisha jiingiza tu kwenye ndoa muziki inawatupa mkono kabisa,cheki list hapa chini,hao niliowawekea nyota ndo wanaishia ishia hivyo kwa mbaali japokuwa wanajitahidi...
Mwanamitindo Hamisa Mobetto ameamua kuweka wazi mwanaume ambaye anataka kuishi naye kwa sasa, ambapo amedai kuwa anataka mwanaume wa kizungu ambaye alishawahi kuachika na mwenye watoto...
Jamaa pamoja na crew yake enzi za gazeti la sani walikuwa wanachora real life na kwa viwango...yaani unafuatilia vile vibonzo na unafurahika kabisa, huku Madenge akiwa ndo stelingi kwenye hii...