Kwenye nchi za Ulaya na Marekani ni ufahari mtu kununua kitu chochote kile kilichotumiwa au kumilikiwa na mtu maarufu ama mashuhuri kwa bei kubwa sana na kuhifadhi kwenye majumba yao.
Lakini ni...
Waungwana karibuni kwa maoni yenu. Ni matumaini yangu nyimbo zote mbili mmeshazisikia sasa ni wakati kutoa maoni yenu je ni wimbo upi umekubamba zaidi kati ya Hamissa Mobetto "madam hero" na wimbo...
Mmh hilo jumba la diamond alilopost huko insta ni balaa, hamisa alikua Ana haki ya kuroga aiseh🤣🤣, hongera bwana chibu, halafu nilisahau kukuwish na Mimi , HAPPY BIRTHDAY...
Unakumbuka Video ya Nitarejea ya Diamond? Basi yule msichana aliyeshirikiana naye katika huo wimbo hali yake si nzuri kisanii na kimaslahi pia kisa cha kusema kuwa anauchukia huo wimbo kwani...
Wakati wa The Jackson Five Jamii iliwapokea na kuwakubali kama kundi la Muziki lililosheheni vipaji. Baadae ilibainika kuwa Michael Jackson alikuwa na kipaji maalum kuliko wenzake, na tena haikuwa...
Habarini zenu.
Msanii Ali Kiba anatarajia kudondosha nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la HELA itakayo anguka muda wowote kuanzia sasa
Huko mitandao ya kijamii imefulika na kuwa na shauku...
Sina uzoefu na kupost humu ndani ila hii kitu imenishangaza.
Nilikuwa naangalia Enews mahojiano ya "Y Tone" kuwa kuna picha yake inasambaa amevaa shanga kiunoni kwa jinsi anavyojibu ni kuwa Mara...
Jana nilikuwa buzy kinyama kumfanyia Mama yangu Birthday
Yes nimesharudi Tz
So nikatonywa kwa Sepenga nae Anabirthday siku ya jana
Wow WEMA na My Mom wanashare same Birthday
Happy Belated...
Watanzania wakikutolea uvivuu kwenye mitandao ya kijamii utakubali show tuu.. Alikiba Katoa wimboo mbovu Sana ambao Audio yake aliitoa zamani now kafanya Video.. Kiukweli Nyimbo ni Mbovuuu...
Tangu ang'atuke WCB chama kubwa linaloshikilia muziki wa bongo kwa sasa(kubali au kataa huo ndo ukweli) kijana Mavoko anaonyesha jitihada za kuzaliwa upya kisanaa lakini changamoto kubwa naona...
Tofauti na matarajio ya wengi , Leo ni birthday ya mwanamuziki mkubwa nchini , Diamond Platnum's , hivyo watu walitegemea birthday wishes za kumiminika kutoka kwa mastaa wenzie, Ila hali imekau...
Doh Shikamoo KIKI
Kwahiyo keshapatikana Tz Sweet Heart au?
Hizi mambo za kunyang'anyana majina mbona mambo ya kiduanzi sana utoto mwiiingi mbona majina yako mengi.
Haya basi kama langu...
Kwa wale wanaosomea marketing au sheria watakua wanaelewa zaidi mambo ya BRAND PERSONIFICATION , na intellectual property rights ( patents , copyrights, trademark n so on). Wasanii wengi wanakua...
Ndugu zangu kama ilivyokawaida ile redio station pendwa super brand namba moja nchini clouds FM na clouds media, wameanza msimu mpya wa tamasha lao la fiesta.
Katika hali ya tofauti kabisa na...
nimejaribu kufatilia Sanaa wanayofanya wanamziki wa bongo nimekuja gundua bado wapo karne ya 20, fikiria mpaka leo mwanamziki anashindwa kuweka lyrics za nyimbo zake mtandaoni, sisi washabiki wao...
Ninachompendea lulu , licha ya kuwa alikua mdangaji kama wadada wengi wa mjini , na pengine ameshalala na mastaa wakubwa na viongozi mbali mbali wa serikalini ambao Wengine hatuwajui, lakini huyu...
Nasikiliza wimbo wa Mandojo na Domokaya, unaitwa Dingi, huu wimbo unaonekana kama ni true story ila sijabahatika kusoma au kusikia sehemu yoyote wakithibitisha kuhusu hili.
Jamaa wanazungumzia...