Je, Ali Kiba kutumika tena na Clouds kuinusuru Fiesta na kudoda?

lord atkin

Senior Member
Sep 30, 2018
197
683
Ndugu zangu kama ilivyokawaida ile redio station pendwa super brand namba moja nchini clouds FM na clouds media, wameanza msimu mpya wa tamasha lao la fiesta.

Katika hali ya tofauti kabisa na miaka mingine tamasha hilo limeonekana kuwatoka wanajamii hivyo kupoteza mvuto kwa kiwango kikubwa.

Tamasha la fiesta mwaka huu limekosa mvuto kutokana na wasanii wanaofanya vizuri zaidi nchini kuwa wanatokea kwenye lebo ya WCB ambayo haipatani na Clouds.

Ni ukweli usiopingika kuwa ukitaja Nyimbo kumi zilizofanya vizuri nchini kwa mwaka huu basi Nyimbo zaidi ya 7 zitakuwa kutoka WCB. Ni kwa sababu hii hofu ya tamasha hilo kudoda imetanda wingu la clouds media wasione pa kushika.

Wakati hali hiyo ikiendelea msanii mashuhuri Alikiba ametangaza kuachia wimbo mpya unaoitwa Hela. Ikumbukwe kuwa mwaka jana msanii Ali Kiba alikuwa kivutio na nyota wa show ya fiesta kupitia wimbo wake wa seduce me.

Je mwaka huu pia anataka kuachia wimbo huo ili kuwasaidi fiesta na clouds media?

Atatumika mpaka lini?
 
Ndugu zangu kama ilivyokawaida ile redio station pendwa super brand namba moja nchini clouds FM na clouds media, wameanza msimu mpya wa tamasha lao la fiesta. Katika hali ya tofauti kabisa na miaka mingine tamasha hilo limeonekana kuwatoka wanajamii hivyo kupoteza mvuto kwa kiwango kikubwa. Tamasha la fiesta mwaka huu limekosa mvuto kutokana na wasanii wanaofanya vizuri zaidi nchini kuwa wanatokea kwenye lebo ya WCB ambayo haipatani na clouds.

Mods nisaidie kuedit hapo kichwa kiwe

"Je Alikiba kutumika tena na clouds kuinusuru fiesta na kudoda?" Moderator Maxence Melo
Okaaaaaay
 
Wenzako wanafanya biashara wewe unaongelea kutumika....
Huo muziki na hizo show ndizo zinazowaweka mjini....
Kwahiyo unatakaje?
Asitoe wimbo?
Asifanye show?
Atakuja kula kwako?
Wewe wenzako wanafanya biashara upo hapa unacomment ili iweje? Inakusaidia nini kucomment hapa wakati wenzako hizo show ndizo zinazowaingizia pesa? Au nawewe ukicomment kuhusu fiesta unaingiza pesa? Acha kujifanya mjuaji mkuu hili ni jukwaa husika "a proper forum" kwa mambo haya.
 
Wewe nawe umekurupuka au akili zako ndogo! Wapi nimekataza alichopost, hoja yangu ni hapo alipococlude kuhusu AK kutumika..muwe mnasoma na kuelewa sio kujikurupukia tu!
 
Okay sorry kwa kukuelewa vibaya.

Ni wazi huwa anatumika mkuu hilo halina ubishi, labda kama fiesta iliyopita hukuwepo nchini. Wanachofanya ni kumpa promo ya nguvu ili at least awe na mvuto wa kutosha ili akihudhuria kwenye fiesta awavute mashabiki.
 
Hii nyimbo ishatokaga mwishoni mwa 2016, mimi mara ya kwanza nilisikia nipo kwenye boda boda na mwanzoni mwa 2017 nilipakua mtandaoni au Kuna nyingine sio hii
 
Wewe ndiye unaona Alikiba anatumika.

Mzee baba Alikiba anauza bidhaa yake.

Bakheresa tunamtumia? Mo nae tunamtumia?

Mzee baba acha hizo... ila hapa tunaelimishana nafikiri utajifunza jambo leo... ikiwezekana edit kauzi basi.
 
Ndugu zangu kama ilivyokawaida ile redio station pendwa super brand namba moja nchini clouds FM na clouds media, wameanza msimu mpya wa tamasha lao la fiesta. Katika hali ya tofauti kabisa na miaka mingine tamasha hilo limeonekana kuwatoka wanajamii hivyo kupoteza mvuto kwa kiwango kikubwa. Tamasha la fiesta mwaka huu limekosa mvuto kutokana na wasanii wanaofanya vizuri zaidi nchini kuwa wanatokea kwenye lebo ya WCB ambayo haipatani na clouds.
Ni ukweli usiopingika kuwa ukitaja Nyimbo kumi zilizofanya vizuri nchini kwa mwaka huu basi Nyimbo zaidi ya 7 zitakuwa kutoka WCB. Ni kwa sababu hii hofu ya tamasha hilo kudoda imetanda wingu la clouds media wasione pa kushika.

Wakati hali hiyo ikiendelea msanii mashuhuri Alikiba ametangaza kuachia wimbo mpya unaoitwa Hela. Ikumbukwe kuwa mwaka jana msanii Ali Kiba alikuwa kivutio na nyota wa show ya fiesta kupitia wimbo wake wa seduce me.

Je mwaka huu pia anataka kuachia wimbo huo ili kuwasaidi fiesta na clouds media?

Atatumika mpaka lini?

Mods nisaidie kuedit hapo kichwa kiwe

"Je Alikiba kutumika tena na clouds kuinusuru fiesta na kudoda?" Moderator Maxence Melo
Mkuu nimekuelewa,,,
 
Wewe ndiye unaona Alikiba anatumika.

Mzee baba Alikiba anauza bidhaa yake.

Bakheresa tunamtumia? Mo nae tunamtumia?

Mzee baba acha hizo... ila hapa tunaelimishana nafikiri utajifunza jambo leo... ikiwezekana edit kauzi basi.
Sasa nikiedit uzi na kuweka mawazo yako utakuwa siyo uzi wangu tena laa ningekuachia tu upost wewe. Uzi unatakiwa kuwa "original" ukiwasilisha mawazo ya mwandishi mwenyewe alie uandika na haya ndiyo mawazo na mtazamo wangu.
Unaweza kucomment na kunipinga uwezavyo na hilo halina tatizo ndiyo kazi ya forum kama hii.
 
Sasa nikiedit uzi na kuweka mawazo yako utakuwa siyo uzi wangu tena laa ningekuachia tu upost wewe. Uzi unatakiwa kuwa "original" ukiwasilisha mawazo ya mwandishi mwenyewe alie uandika.
Unaweza kucomment na kunipinga uwezavyo na hilo halina tatizo ndiyo kazi ya forum kama hii.
Nakuachia haka kamstari kwenye track ya Ngosha.

Kuna wasanii wanafanya track hadi mwenyewe unaona aibu...track mbovu mbovu...
 
ni kweli kwa sasa WCB ndiyo inayokimbiza....yaani kwa mfano huku mkoani ...ukipita kila Pub/disko ni nyimbo zao tu zinatamba..Nafikiri Ali KIba hana management nzuri kabisa.....angalia hata video zake ni zero kabisa
 
Okay sorry kwa kukuelewa vibaya.

Ni wazi huwa anatumika mkuu hilo halina ubishi, labda kama fiesta iliyopita hukuwepo nchini. Wanachofanya ni kumpa promo ya nguvu ili at least awe na mvuto wa kutosha ili akihudhuria kwenye fiesta awavute mashabiki.
Wakishampa promo ili akubalike kwa mashabiki hawampi hela?? au wewe neno 'Kutumika' unalitafsiri vipi bro.

Katika dunia hii utafanya biashara bila PROMO??
 
Back
Top Bottom