warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,213
- 18,465
Inaonekana Diamond ako obsessed mostly with light skinned girl , huenda huu ndo ugonjwa wake kwa wanawake, ukichunguza kwa umakini list ya warembo aliowahi ku date nao au kutoka nao Utagundua asilimia nyingi ni weupe, kuanzia penny , wema , jackiline wolper , Irene uwoya , hamisa mobetto , zari na huyu wa sasa official Lynn anayesemekana ndio mpenzi wake mpya kwa sasa