Hip Hop Dj''s and Radio in Tanzania

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,125
1,752
Kwema humu..
kwa Tanzania unamkubali dj yupi anaecheza nyimbo za Hip Hop..?
na kituo gani cha Radio kinachocheza Nyimbo za Hip Hop

mimi naanza na
1. Dj Jeff Jerry-Kiss fm (Jafari mzonge) huyu jamaa sijawahi kuona anaeweza kumfikia huyu jamaa
2. Dj Maliz-Kiss fm mmoja kati ya madj wakongwe anatisha pia huyu jamaa kwa non stop
3. Dj Stevie B dj skill-Clouds/choice sahv naskia yuko Azam tv sina hakika, pia ni dj anae support hip hop na upcomming artist
4. Dj Simmba-Kiss fm/Star tv yuko vizuri pia. sasahivi ana academy yake ya Dj (Mkubali mwenzio dj academy)
5. Dj PQ former Clouds fm. sahv anamiliki Itch dj academy

tiririka na ww
 
Kiukweli binafsi Kiss Fm ilikua na best DJs kwa hapa bongo bila kujali aina ya muziki

1. DJ Jeffjerry.
2.DJ Davi
3. DJ Simba
4.DJ Maliz
5. DJChriss
Baba salute kwako kwa kutaja kikosi cha maangamizi..Dj Chris huyu ameisharudi kwao. Dj Davy sikuhizi anajihusisha na masuala ya dini zaidi, Maliz na Simba bado wapo lakini wamebase kwenye sound engineer pale Sahara media, Jeff jerry kama kawa anawakilisha
 
Kwema humu..
kwa Tanzania unamkubali dj yupi anaecheza nyimbo za Hip Hop..?
na kituo gani cha Radio kinachocheza Nyimbo za Hip Hop

mimi naanza na
1. Dj Jeff Jerry-Kiss fm (Jafari mzonge) huyu jamaa sijawahi kuona anaeweza kumfikia huyu jamaa
2. Dj Maliz-Kiss fm mmoja kati ya madj wakongwe anatisha pia huyu jamaa kwa non stop
3. Dj Stevie B dj skill-Clouds/choice sahv naskia yuko Azam tv sina hakika, pia ni dj anae support hip hop na upcomming artist
4. Dj Simmba-Kiss fm/Star tv yuko vizuri pia. sasahivi ana academy yake ya Dj (Mkubali mwenzio dj academy)
5. Dj PQ former Clouds fm. sahv anamiliki Itch dj academy

tiririka na ww
Nimekukubali kwenye Madj wa Kiss Fm hapo, Yaani wala Hujakosea. Tena hao majamaa kwenye miakabya 2005,2006, kwenye kipindi chao cha Top Ujazo...daaaah
 
Kwema humu..
kwa Tanzania unamkubali dj yupi anaecheza nyimbo za Hip Hop..?
na kituo gani cha Radio kinachocheza Nyimbo za Hip Hop

mimi naanza na
1. Dj Jeff Jerry-Kiss fm (Jafari mzonge) huyu jamaa sijawahi kuona anaeweza kumfikia huyu jamaa
2. Dj Maliz-Kiss fm mmoja kati ya madj wakongwe anatisha pia huyu jamaa kwa non stop
3. Dj Stevie B dj skill-Clouds/choice sahv naskia yuko Azam tv sina hakika, pia ni dj anae support hip hop na upcomming artist
4. Dj Simmba-Kiss fm/Star tv yuko vizuri pia. sasahivi ana academy yake ya Dj (Mkubali mwenzio dj academy)
5. Dj PQ former Clouds fm. sahv anamiliki Itch dj academy

tiririka na ww

Kuna mmoja hivi anaitwa Dj Baby anapiga sana kumbi za Mikocheni na kuna wakati alikuwa anafanya na Times fm. Yupo vizuri nae.
 
Dj Jeff ni hatari sana katka hip hop. Anaujua mziki wa hip hop habatishi jamaa!!!
Wanaofata ni Dj Malizi na Simba baaaasiiii!!!
 
Baba salute kwako kwa kutaja kikosi cha maangamizi..Dj Chris huyu ameisharudi kwao. Dj Davy sikuhizi anajihusisha na masuala ya dini zaidi, Maliz na Simba bado wapo lakini wamebase kwenye sound engineer pale Sahara media, Jeff jerry kama kawa anawakilisha
Criss karudi kwao wapi?
Kiss hawana ubaguzi ktk kupiga muziki. Nimewasikiliza kwa muda mrefu na wameprove hilo.
List yako ingekuwa pop nafkiri V Money, Seba the warrior na Abby could have been in the list
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom