Muigizaji marufu na x-girlfriend wa Diamond platnumz, Wema Sepetu amechukua fomu ya kugombea ubunge wa viti maalum kupitia CCM.
Akiongea na host wa kipindi cha ala za roho cha clouds fm...
WCB , Diamond na Rayvanny wametozwa tsh milioni 9 kutokana na maudhui mabovu ya wimbo 'Mwanza'
BASATA imewatoza faini ya Tsh. Milioni 3 kila mmoja Mwanamuziki Diamond Platnumz, Mwanamuziki...
KOTI la kihistoria la Michael Jackson (MJ) limeuzwa katika mnada kwa Dola za Marekani 298,000 (zaidi ya Sh milioni 600) ikiwa ni mara tatu ya bei halisi ya koti hilo.
Koti hilo lililonunuliwa na...
Hivi hili baraza lina matatizo gani? Sioni sababu ya kuifungia ile nyimbo kiukweli...
Kwa style hii wasanii wetu watapata tabu sana. Ebu tusaidiane kwahili ile nyimbo ina tatizo kwani?!
Baada ya Amber Lulu kuacha mambo ya kitoto alimpa majukumu hayo mwenzake Amber Rutty, Amber Rutty alikomaa sana kuhakikisha jina Amber linakita mizizi yake kwenye skendo na kiki mbalimbali. Wakati...
BASATA wametaka Diamond na Rayvanny kufuta wimbo wa Mwanza kwenye platform zote huku wao wakiwalisiliana na mamlaka nyinginge.
Katika hatua nyingine BASATA wamesema iwapo wasafi watatumia nyimbo...
Pamoja na umaarufu wake na ukubwa wa jina lake lakini huwa nyimbo za Vanessa Mdee huwa sizielewi kabisa...yaani hata ukiniuliza sasa hivi kama kuna nyimbo yake naiujua wala siwezi kukuambia...
Wanajiita wanamuziki lakini mimi nasema ni wahuni na wababaishaji ambao wameivamia fani kwa mtindo wa zima moto.
Baadhi ya wanamuziki wanaojiita ni wa kizazi kipya ni janga kwa taifa kwa kuwa...
Dada wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ?Diamond ,? Esma Abdul amerudisha mahaba na aliyekuwa mumewe , Hamad Manungwa ?Petit man ? baada ya kudaiwa kutengana , tena kwa talaka tatu ...
Mtoto wa anti christ Will Smith ajulikanye kama Jaden Smith akitomasana na Mwanaume mwenzake, bado watoto wa anti christ Obama nao muda siyo mrefu watamwaga radhi pia live!
Will Smith ni muumini...
Na Stephen Chelu
Habarini waku,
Natumaini mko salama na mnaendelea na majukumu ya kuelekea uchumi wa kati na bila kusahau kujaribu kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda. Mungu atubariki kwa...
Msanii wa Bongo Flava, Msamii amesema si kweli kwamba ameshawahi kutoka kimapenzi na Nandy.
Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma katika mahojiano na Bongo5 amesema Nandy ni kama...
Nimeshindwa kuelewa kama hii ni spinning ama ni makosa ya mwandishi wa habari? Kichwa habari kama hicho ukisoma haraka haraka unaweza kudhani kwamba Mkuu wa Mkoa ameagiza watu wajichukulie sheria...
Aliyekuwa mke wa rais wa Marekani Michelle Obama ametoa kumbukumbu ambapo amefichua matatizo aliyopitia katika ndoa yake na uja uzito wa watoto wake wawili.
Katika kitabu hicho, Becoming, Bi...
Binti wa JK aitwaye Salama Kikwete amehitimu digrii ya Doctor of Dental Surgery Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili.
Hii inafurahisha kwa baadhi ya viongozi wetu kusomesha watoto...
Rayvany ametoa wimbo mpya akishirikiana na diamond unaoitwa Mwanza
Bill Shaka Hawa ni vijana wenye uwezo mkubwa wa kuimba lakini za kushangaza wametoa wimbo mbovu Sana kulinganisha na uwezo...
BASATA ni chombo rasmi cha serikali ambacho kinafanya kazi kwa niaba ya serikali.
Leo wametangaza kuufungia wimbo wa Mwanza na kuwataka WCB wauondoe kwenye digital media zao zote.
Cha ajabu ni...