Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Salam, Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakishindwa kuelewa kwamba katika jamii yoyote kupata umaarufu na heshima kuna gharama yake, tena gharama kubwa!. Twende sambamba katika uchambuzi huu ili...
7 Reactions
26 Replies
6K Views
Kwa kipindi kirefu Clouds FM wamekua wakihaha kubrand wasanii wenye vipaji vikali ili kupata mtu ambae ataweza kutake over Diamond Platnumz. Mfano hawakina Marioo, na wengine wengi. So, baada ya...
3 Reactions
163 Replies
18K Views
Rich mavoko alipotaka kuvunja mkataba aliambiwa atoe milion 250 akachemka matokeo yake kila kitu akampoka mpaka akaunti za kijamiii harmonize alipotaka kujitegemea akaambiwa atoe milion 500...
11 Reactions
124 Replies
15K Views
Mimi sio shabiki wa mambo ya muziki wa Tanzania, ila napenda sana kuingia mitandaoni na sifa anazopewa Diamond ni nyingi sana. Ila nimejiuliza, baada ya pitapita zangu nimekutana jarida maarufu...
1 Reactions
36 Replies
9K Views
Rosa Ree continues to surprise people with her consistence of releasing hit songs. Here is another one from Rosa Ree herself featuring Fik Fameica from Uganda Acha Ungese. TAZAMA VIDEO:
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Akihojiwa na Clouds FM kwenye XXL amesema imemlazimu kulipa million 500 ili kuvunja mkaba na Kampuni ya Wasafi. Amesema kampuni ya Wasafi walimzuia kutumia chochote kilichotokana na Wasafi...
32 Reactions
307 Replies
58K Views
Yaani kumbe mbwembwe zote zile mama wa kuogea maziwa alikuwa anataka kuzindua kipindi, dooooh!!! Mastaa wa bongo kazi ipo.
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Huyu jamaa Nasibu anajitahidi sana kufanya kazi na kuajiri watu wengine ila sasa inapoelekea inabidi ajilinde zaidi maana anaitwa mnyonyajji na tapeli na mwonevu. Namshauri ajiangalie sana maana...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Baada ya kuwa na kitendawili alichokuwa anakiweka Irene Uwoya kupitia mtandao wa Instagram inayosema kuhusu tarehe 26 Oktoba, sasa imejulikana kuwa ni ndoa kutokana na tetesi zinazoendelea katika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Huyu ni mla bata wa kishua ambaye anatembea nchi nyingi sana, hana stress na maisha, yeye ni bata za kishua siyo vumbivumbi na ni mtu wa ku-cruise kwenye yatch na hoteli kubwa. She's a...
1 Reactions
72 Replies
14K Views
Mziki maalumu kwake by mashujaa muzika Huyu kijana Steven kanumba apumzike mahala pema peponi amina, Tunatambua jitihada zake katika kukuza tasnia ya filamu Tanzania,
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Nyota wa muziki nchini marekani De andre way AKA soulja boy hatimaye aamua kumchukua evender hollfield kuelekea mpambano wake na mwanamuziki ambaye pia aliwahi kuwa mpenzi wa mwanadada mwenye...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ukweli huyo mdada mke wa said fella anatuharibia wadada, kwa maana yeye ndiyo Muuza mikorogo wazi wazi tena mikorogo ya kila aina. Anayo mpaka ya wiki unakuwa mweupe TFDA mpo wapi?
17 Reactions
217 Replies
37K Views
Kweli majizo ni hatari baada ya kuzaa na mobeto sasa ameenda kuzaa na salma msangi. Na juzi kwenye 40 ya mtoto mzee mzima alitimba Ndio maana lulu ameamua kuwa mlevi tuu
1 Reactions
30 Replies
7K Views
Hii ndo top five ya wasanii wakali wa hip hop na sehemu wanazotoka 1. Fid q from Mwanza 2. Mwana fa from Tanga 3. Pro j from Songea 4. Darasa from Mwanza 5. Young killer from Mwanza Hii imayofuta...
8 Reactions
228 Replies
66K Views
Eeeh! Jeshi (Umemuiga Diamond kwenye Kanyaga pale anaposema 'Zombiie') Daah! Nyimbo ulianza nayo vizuri ila umezingua nyimbo, unacheka cheka tu, hatukuelewi wala nini. Acha miyeyusho ujue siku...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Na Moshy Kiyungi Bendi ya Tabora Jazz ilikuwa na makazi yake mjini Tabora ikipiga muziki wake katika ukumbi wa nyumbani wa Lumumba. Ilikuwa na sifa ya kutoka na nyimbo mpya kila baada ya kipindi...
3 Reactions
5 Replies
4K Views
Shilole aangua kilio baada ya mahakama kutoa hukumu kumtaka alipe million 14 za kitanzania kwa Mary Musa. Mwaka 2017 katika mkesha wa Pasaka Shilole alilipwa mil.3 akatumbuize huko Mbagala lakini...
14 Reactions
85 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…