Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,466
- 25,385
Nyota wa muziki nchini marekani De andre way AKA soulja boy hatimaye aamua kumchukua evender hollfield kuelekea mpambano wake na mwanamuziki ambaye pia aliwahi kuwa mpenzi wa mwanadada mwenye mvuto wa haja aiwatwae Robbin Fenty Rihanaa au Rihana , Chriss Brown
Hapo awali soulja boy alikuwa anafundishwa na the super hero unbeaten man ,boxer jini ,boxer mwenye hela zaidi dunian Floyd Mayweather lakin kutokana na ubize unaomwandama Floyd soulja boy ameamua kumchukua evender ili amnoe kuelekea pambano lake litakalopigwa mwezi machi mwaka huu na chriss brown anaenolewa na Mike Tyson
Haya sasa wapenzi wa masumbwi macho yetu kodo kuelekea hili pambano la kukata na shoka litakalo simamisha dunia kwa saa kadhaa
Twende kazi mdau karata yako unatupa kwa nani Chris au soulja boy?