Harmonize hii 'Niteke Remix' umeanza nayo vizuri ila umeharibu

fundi bishoo

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
12,956
22,648
Eeeh! Jeshi (Umemuiga Diamond kwenye Kanyaga pale anaposema 'Zombiie') Daah! Nyimbo ulianza nayo vizuri ila umezingua nyimbo, unacheka cheka tu, hatukuelewi wala nini.

Acha miyeyusho ujue siku hizi umefanya hata Wamakonde tusiaminike mitaani. Aah!

#yesbishoohaswaaaa
 
Eeeh! Jeshi ( Umemuiga Diamond kwenye Kanyaga pale anaposema 'Zombiie') Daah! Nyimbo ulianza nayo vizuri ila umezingua nyimbo, unacheka cheka tu, hatukuelewi wala nini.

Acha miyeyusho ujue siku hizi umefanya hata Wamakonde tusiaminike mitaani. Aah!

#yesbishoohaswaaaa
Harmo ni nakala ngumu ya Diamond. Elewa hivyo ili uwe na amani
 
Back
Top Bottom