Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
18,716
28,622
Hii ndo top five ya wasanii wakali wa hip hop na sehemu wanazotoka
1. Fid q from Mwanza
2. Mwana fa from Tanga
3. Pro j from Songea
4. Darasa from Mwanza
5. Young killer from Mwanza

Hii imayofuta ni orodha ya wana hip hop waliozoea kubebwa
1. John makin from Arusha
2. Stamina from Morogoro
3. Niki wa pili from Arusha
4. Izzo biznes from Mbeya
5. Roma mkatolik from Tanga
 
Back
Top Bottom