Mahakama yamuamuru Shilole kumlipa Mary Musa TZS 14M kama fidia ya kutokuhudhuria kwenye show

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,906

Shilole aangua kilio baada ya mahakama kutoa hukumu kumtaka alipe million 14 za kitanzania kwa Mary Musa.

Mwaka 2017 katika mkesha wa Pasaka Shilole alilipwa mil.3 akatumbuize huko Mbagala lakini alishindwa kutokea kwa wakati hivyo mashabiki kupandwa na hasira na kuharibu Mali ukumbini Hapo.

Mary alifungua kesi kuomba alipwe fidia lakini Shilole akawa anapuuza wito wa mahakama.

Shilole ametakiwa kutoa pesa hizo ndani ya wiki moja la sivyo Mali zake zitashikiliwa.

Crediti: GPL
------------
Safi sana Mahakama, ni wakati sasa wa wanasanaa wetu kujua umuhimu wa kuheshimu sheria na kuheshimu mikataba.
 
Attachments

  • Shilole.png
    Shilole.png
    80.2 KB · Views: 152
Bongo movie na bongo fleva
Mjiandae kwa mchango
mwenzenu huyu yashamkuta

Sasa msimtupe maana
Kutokutokea kwenye show n kawaida yenu na hamna sababu za msingi
 
Jamaa ana mawazo,leo atapigwa vibao vya kutosha na hivi anamtegemea shishi,ila amwombe ngosha amlipie
 
Shilole aangua kilio baada ya mahakama kutoa hukumu kumtaka alipe million 14 za kitanzania kwa Mary Musa.

Mwaka 2017 katika mkesha wa Pasaka Shilole alilipwa mil.3 akatumbuize huko Mbagala lakini alishindwa kutokea kwa wakati hivyo mashabiki kupandwa na hasira na kuharibu Mali ukumbini Hapo.

Mary alifungua kesi kuomba alipwe fidia lakini Shilole akawa anapuuza wito wa mahakama.

Shilole ametakiwa kutoa pesa hizo ndani ya wiki moja la sivyo Mali zake zitashikiliwa.

Crediti: GPL
------------
Safi sana Mahakama, ni wakati sasa wa wanasanaa wetu kujua umuhimu wa kuheshimu sheria na kuheshimu mikataba.
Kama ana uwezo wa kununua wigi la million moja na gauni la million 6 bado viatu na urembo hiyo pesa ni chicken feed kwake asituzuge na machozi ALIPE
 
Back
Top Bottom