Msanii mbosso Khan a.k.a Mr romantic au unaweza kumwita jina lingine muhindi wa kibiti amefurahia kufikisha miaka 2 tangu ajiunge na record label kubwa ya WCB na tangu hapo ameteka mioyo ya...
Aman iwe nannyi wakuu
Nataka leo tumalize ubishi mazee
Iv ni msanii gan wa rap yaan hip hop anaweza fikia hata nusu ya fidq kwa michano na mistar iliyoenda shule
Je kuna msanii mgumu kama fidq...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Yule dada mrembo wema isack sepetu, madam, sepenga ambaye aliwah kuwa kada wa chadema na sasa kutimukia ccm...
Moja Kati ya Jambo nimeona Kuna improvement kwenye mziki wetu ni suala la ubunifu wa majukwaa na hii imechangiwa na competition ya matamasha yetu especially Wasafi festival na fiesta kwa upande wa...
Mkali wa R&B Duniani Chris Brown amefanya mnada wa uuzwaji bidhaa zake ambazo tayari ameshazitumia au kuzivaa hasa nguo na viatu nyumbani kwake, mnada ambao utachukua siku mbili na jana.
=====...
Wakuu Kwema??
Weekend hii nikiwa zangu Home napumzika baada ya Pilikapilika za Week nzima nikasema nipitie Channels za TV za Music hapa Bongo nione wana Mpya gani.
Mara ukaja Wimbo wa Young D wa...
Kuna kipindi kipya kinaitwa cruise kareok,kuanzia saa 3 usiku hadi saa 6 jumatatu hadi alhamisi,kuna watangazaji wapya Mayaga Shishi na Kid Kiomboi wakiwa na King smash na Queen Fifi,yaani kipindi...
Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz aweka record ya kuwa most African artist mwenye subcribers wengi baada ya kufikisha million 3 na hii imefanya uongozi wa YouTube kumpa...
Chid Benz akiwa stejini akiperform kwenye show ya Harmonize alibamba mashabiki kwa dk chache halafu akasema "napiga hii show kwa laki 3 tu kutoka kwa Rajabu Hassan ,kisha akashuka stejini.
Hii ni...
ALBERTO MSANDO GIGY MONEY
A to Z ya Video Chafu ya Gigy Money na Wakili Msando...Msando Adai Gigy Amelipiza Kisasi
Aibu! Siri nzito imevuja baada ya video chafu iliyomhusisha wakili maarufu hapa...
Aman itamalaki
Mavoko umeshuka sana kimziki haukiki wala hausikiki kabisa nyota yako imefifia na huna tena ngoma kali
Sitaki kuhusisha na kuondoka kwako wasafi na kushuka kwako
No ila tu...
Mondi ametangaza anakwenda tour Europe akiambatana na bendi na dancers. Live band!
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa msanii wa BONGO FLEVA kufanya hivi katika historia na nchi inayonyemelewa na...
Haka kadada nilikua nakachukia, kalikua kana mapepe mno na nyodo flan hivi , ila toka wanazengo wampe makavu Naona siku hizi akili zimemrudia, kako focused hakana mapepe kama zamani, ameanza kukaa...
Kazi nyingine toka kwa hamo, Je unaipa alama ngapi kati ya 10?
Hainistui Lyrics – Harmonize
Intro chorus
Yaaweya, Jeshi
Konde Boy
Hainistui, Hainistui, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui...
Demi Rose prides herself on her voluptuous curves which she regularly shows off in sexy photoshoots.
But one part of her body has changed more than any other - her bountiful bum. Not its confirm...
I smell a fish
To me the death of Kobe Bryant sound like it was premeditated.
Ndege haiwezi kulipuka yenyewe bila sababu hasa ikizingatiwa kuwa kabla ya kuruka ili fanyiwa thoroughly check up...
Wiki hii baadhi ya watu maarufu kutoka Ghana wametrend Sana kutokana na kauli zao ukiachana na kauli ya mchungaji Nigel Gaisie aliyedai atamfufua Kobe Bryant kama atapata 10% ya Mali zake...
Akijibu juu ya kupendwa sana na kusababisha taflan mitandaoni, a 31 years old Diva Gissele Malinzi au Al maarufu Kama Diva' Mtangazaji wa #Alazaroho ya Cloudsfm , anasema yeye huwa hajali wala...