Mbunifu na Mwanamitindo mashuhuri duniani kutoka nchini Italia Giorgio Armani, amefariki dunia hii leo Septemba 4, 2025 akiwa na umri wa miaka 91, Kampuni yake imethibitisha.
Kupitia taarifa...
Hi guys!
Yule fisadi wa BOT aliekuwa akigawa gari nyekundu kwa ma miss na madazetu na kufanya wengine kuogopa hata kwenda kupima kutokanan na mawzo hivi jana alianguka akiwa kazini akisuburi...
Kwa Dunia Tuliopo kutajirika ni easy sana USIWE na uwoga tu, asma juzi alikua na tangazo la crdb marathon ka sikosei, pale analipwa, yule dullah juzi hapa alikuwa na dili na nmb bank wanalipwa...
Kuna msanii wa kike wa vichekesho wa Cheka Tu, kipaji chake kimemlipa sasa amenunua ndinga, Mitsubishi Outlander 3rd generation ya mwaka 2016 hadi 2017.
Inavyoelekea Wasanii wa comedy mambo yao...
Mwanamuziki wa Gospel kutoka Ambwene Mwasongwe ametokea hadharani na kuwaomba radhi watu wote walio chukizwa na kitendo cha yeye kutokea katika jukwaa la siasa.
Ambwene ameomba radhi na...
Huyu jamaa kila ukiingia kwenye page yake ya instagram ni mwendo tu wa kumsifia mke wake mpya. Pigo zile za kishamba kama za Manara.
Siku yakimkuta naamini atalia zaidi ya alivyolia kwenye msiba...
Sawa Diamond na Mario walau tunaona kazi zao za sanaa, na wanapiga show mbalimbali ndani na nje ya nchi.
Ila huyu Ommy Dimpoz yeye kazi yake ni nini, maana kwenye sanaa ni kama alishachemka...
Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Rwanda, Gloriose Musabyimana, maarufu kama Gogo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 36 nchini Uganda.
Taarifa zinasema alifariki usiku wa Septemba 3, baada...
Haya ni maneno ya Msanii wa bongo Flavor BekaFlavor na kupostiwa na Msanii Bell9 kutokana na kile alichokisema msanii diamond juu ya vijana kufanya kazi badala ya kulalamika.
"Ila kuna vitu...
Sema ee bwana Yesu mikononi mwako naiweka roho yangu. Lazima tupeane toba kwanza. Hii trace awards nimeisikia wasafi leo imenihuzunisha sana sana.
Alikiba kuwekwa hotel ya kawaida, Alikiba...
Jioni ya leo February 26 kutakuwa na kilele cha msimu wa pili wa tuzo za muziki zinazojulikana kama Trace Awards huko visiwani Zanzibar.
Tukio hilo litakalofanyika viunga vya hadhi ya juu...
Rapa Chid Benz ameongea kwa hisia sana kuhusu familia yake, akisema, "Nilikuwa nawaza siku ifike mama yangu aone situmii tena unga" na aliposaidiwa aliona kama ametua mzigo mzito.
Naam, yeyote aliyeko ‘active’ kwenye mitandao ya kijamii atakuwa anafahamu sakata lililotikisa nchi miaka kadhaa iliyopita ziliposambaa picha za utupu za mwigizaji na msanii wa muziki wa kizazi...
A.Y
Representing the initials of his
names Ambwene Yessayah. background .. Began his musical career at the
tender age of ten.
While in primary school he
participated in talent searches
and...
Katibu Mtendaji Wa Baraza La Sanaa Taifa Kedmon Mapana amesema wimbo wa Mtangazaji Oscar Oscar Jr hautaruhusiwa kupigwa sehemu za wazi, utapigwa kuanzia saa sita usiku na utasikilizwa na watu...
Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.
Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake...
Amani iwe kwenu watumishi
Nianze kwanza na history ya magomen kitaa changu ninachoishi toka kitambo sana
Kitaa hiki ni kitaa mabingwa wa ndoa za mkeka hasa mwezi wa Ramadhan unapokalibia
Ndoa...
Naona kama ni mpango wa kuzima kelele za Gwajima🤔🤔
Anaandika diamond...
"Miongoni Mwa vitu ambavyo nimejifunza ni Ukomavu wa Kukaa kimya… Ukomavu huu unataka uvumilivu wa hali ya juu, Inataka...
Nimeziona baadhi ya picha za mtanzania mwenzetu na mwanaume mwenzetu Frank Maston. Ambae pia ni mwanamuziki.
Picha zake zinanipa shida kubwa sana na sijui how ntarecover na nachokiona...