Acid na Nyani Ngabu: JF Men of the Year 2010

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Mods: Naomba msiihamishe thread hii; nimepata tabu sana kuipata. Kumbukeni wana JF wana haki ya kujua matokeo ya kura zilizopigwa.

Katika Mchakato wa Kumtafuta JF Man of the Year 2010 uliohusisha vigezo mbalimbali na hatimaye upigaji kura uliodumu wiki moja:

https://www.jamiiforums.com/celebri...of-the-year-2010-mchakato-wa-kuwapata-10.html

Tume ya Uchaguzi ya Jamiiforums JEC chini ya uenyekiti wangu ilipitia kwa makini vigezo; ,mchakato na kura zote zilizopigwa na kujiridhisha kwa kauli moja kama tume kuwa kwa mwaka huu Members wawili wa JF wamefungana na hivyo tunayo furaha kutangaza rasmi kuwa:

ACID na NYANI NGABU ni: JF MEN OF THE YEAR 2010. (MoY 2010)

Kwa kuwa nyie ni washindi inawapasa kuwa na maadili mema na tume haitasita kumnyang'anya ushindi yeyote atakayekwenda kinyume na maadili ya JF.

Sambamba na hilo mnaruhusiwa members wote kuwa address kwa titles zao yaani MoY ikifuatiwa na jina.

Pia sambamba na hilo zawadi ya laki moja iliyopokelewa kwa upande wa Wanaume mtagawana elfu 50 kila moja.

Kwa niaba ya wana JF wote tume inapenda kuwapa pongezi za dhati sana kwa ushindi wenu.

Kwa Mshindi wa "JF Woman of the Year" tafadhali tembelea:https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/98940-gaijin-na-regia-jf-women-of-the-year-2010-a.html

Salamu za pongezi ruksa.

Asanteni sana.
 
Ni matumaini ya tume kuwa next year 2011 wengi zaidi watajitokeza na kupendekezwa kugombea.
 
haya Mwenyekiti wa Tume tumekupata lakini nahisi tunahitaji mabadiliko ya Tume next year,
 
haya Mwenyekiti wa Tume tumekupata lakini nahisi tunahitaji mabadiliko ya Tume next year,

Kweli kabisa, hii Tume ilimbeba sana Nyani Ngabu pamoja na malalamiko yote yaliyoelekezwa kwake....
 
hahahahahahahahahaha Nyie watu mnachekesha sana LOL!
 
Sasa, Acid kwanza HONGERA MKUU WANGU.
Lakini nategemea utaje lokesheni tutakapokutana ili kuiangamiuza ghafla hiyo 50K!...usiitumie kununua mboga za watoto ndugu yangu watu wameikodolea macho sana!
 
Ninani wa bara nani wavisiwani?au wote ni Jamhuri ya watu wa JF?wakati anatafutwa man of the year au wote wakiwa wawili ndo anakuwa amefikisha vigezo vyakuwa Man??nawsiwasi na huyo kilavu wa Jf!!
 
Thi is BS..... i hate NN for shoo ila dadake nimechukua......
 
Back
Top Bottom