Nani anajua waigizaji wetu kwenye Bongo Movies wanalipwa kiasi gani kwa kuigiza kwenye Filamu na ni nani ndiye anayeongoza kwa kulipwa hela nyingi?
Umaarufu wa watu wa Bonge Movies unatokana na...
Waandaaji wa Tuzo za Soundcity MVP wametangaza orodha ya wasanii wanaowania vipengele mbalimbali kwenye Tuzo hizo Watanzania @Diamondplatnumz @RayVanny @S2kizzy @OfficialNandy @Harmonize_tz na...
Hiki kitu nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara tangia harmonize ameanza kufanya kazi zake mwenyewe.
It seems wanaosimamia biashara zake either hawana kauli yeyote ile juu yake au hawajui...
Mwanadada aliyepata umaarufu kupitia kuwa video queen kwenye ngoma ya nuhu mziwanda ya " Jike shupa" nakupachikwa jina Hilo na mashabiki wa mziki amejikuta matatani baada ya kufumaniwa na Mume wa...
Habarini wana JF ni matumaini yangu mpo wazima kabisa katika kipindi hiki cha karantini tuendelee kuchukua tahadhari.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Kwenu madam Ritta na...
Naam,
Pengine ulikuwa hujui sasa nakujuza.
Bwana Lucian Gabriel Wiina Msamati ni muigizaji wa Kiingereza mwenye asili ya Tanzania kuigiza katika Tamthilia pendwa ya Game of Thrones.
Katika Game...
Umetoa kod kwa wasiojiweza, saafi
Umejenga msikiti, saafi
Umeleta radio, studio, tv, saafi
Umefanya matamasha ndani na nje ya nchi, safi
Umetuletea maneno mapya kwenye lugha yetu pendwa mfano...
Habarini Wadau,
Kiukweli namhusudu na kumpenda sana huyu dada, ambaye ni mtangazaji wa ITV.
Anayeweza kunisaidia namba zake aidha ya simu au ya nyumba aniwekee hapa tafadhali.
Najua hajaolewa...
Akifanya mahojiano yake na kituo kimoja cha online TV mbunge David Silinde ameweka umri wake hadharani.
Silinde amenukuliwa akisema yeye bado Kijana na umri wake ni miaka 35.
At the Hill i used...
Moja ya wadada wanaotisha kwa urembo hapa bongo kuanzia juu mpaka chini nilibahatika kuona picha yake moja akiwa natural kabisa inaonekana kama ana asili flani hivi siyo mbantu kwa asilimia 100...
Happynyerereday to everyone
Kilimanjaro na Arusha ni mikoa ambayo imebarikiwa vipaji vya Kila aina na watu ambao Wana ushawishi mkubwa sana katika nchi hii ya Tanzania
Mada hii itajikita zaidi...
Habari wakuu wa JF,
Mwanamuziki Richard Wayne Penniman maarufu kama Little Richard aliyevuma kwa kibao chake matata Long Tall Sally kilichotumika kama Soundtrack kwenye movie ya "Anodi ya Jini" -...
Kama umezaliwa enzi za Kikwete inaweza kuwa ngumu kuwafahamu hawa watu!!
1. Mike Tee a.k.a mnyalu
2. Dudu baya a.k.a dudu zuri
3. Mr Nice a.k.a mzee wa TAKEU style
4. Witnes Masiga wa B lov M
5...
Kwa Jinsi Ambavyo Nimeona Watu Wengi Mmeupokea Wimbo Wetu Wa KAKA_TUCHATI Na Kuvutiwa Nao,
Nimewaza Jambo Fulani, Mimi Nina Followers Hapa Instagram Laki Sita 600K, Na Staminashorwebwenzi Ana...
Queen Darleen, Lavalava hawapati sapot ya fans wa WCB kama ilivyo kwa Rayvany. Mboso kidogo wanamsapoti japo si sana.
Hii hali inaenda kumkuta msanii mpya Zuchu. Tukubaliane kua ile trending ya...
Mkurugenzi na CEO wa Wasafi media Diamond Platnumz amethibitisha leo kutakuwa na press pale Wasafi head quarter kwa kampeni inaitwa " Chuma kimeingia" .Tukio Hilo litarushwa kuanzia saa 5 Asubuhi...
African Beat ilianzishwa mwaka 1998, baada ya Mafumu Bilali Bombenga kujiengua kutoka katika bendi ya African Stars ambayo nayo ilianzishwa mnamo mwaka 1994 kwenye Hoteli ya Bahari Beach, jijini...