Kuna mtu anaweza kuniambia siku Senzo alipigwa risasi na kufariki? Maana nasikia watu wanadai kuwa alipigwa risasi na kufariki, sijasikia hata ilikuwa mwaka gani!
=========
Angalia hii video...
Wizkidayo a.k.a StarBoy pamoja na Davido wote wameachia Album zao ambazo kwa sasa zimekuwa gumzo Afrika mpaka Worldwide.
Kama umepata fursa ya kuzisikiliza ipi umeielewa zaidi?
Wizkid MADE IN...
Mara Paaap nafungua Instagram naambiwa James Bond Amekufa🙆
Uuuuwi jamaani kwanini umekufa weweee
Mwanzilishi wa Sinema za James abond Duniani na Owner WA Copy Right ya James Bond Movies, Dead and...
Habari wana JF,
Moja kwa moja kwenye mada, kama tujuavyo neno Gospel maana yake ni Habari njema kwa watu wote (kutokana na imani ya kikristo). Na kuna waimbaji wengi (hatuwaiti wasanii maana hamna...
Amesema ndoto hiyo ya ajabu imemfanya avunjike mguu wake.
Mwanamuziki huyo Kiongozi wa bendi ya Talent amedai ndoto hiyo siyo ya kawaida kabisa na ameamua kumuachia Allah aliye mjuzi wa mambo...
Hizi nyimbo zao nazisikiliza kila siku mpaka mzungu wangu anaona wivu ukizingatia haelewi lugha hahahahaha.
Wimbo wa Belle9 listen, vitamin music, nilipe nisepe, etc. Nyimbo za Pasha Hidaya, Ni...
Huu wimbo mpya wa harmonize kama jinsi alivyouita mimi nimeupenda kwa u comedy wake lakini siuiti wimbo kwangu ni kichekesho na wala si wimbo lakini zaidi kitendo chakumchukua kijana anaefanana na...
Lile Jitu zee anbalo likila demu lazima litangaze.
Hivi kwann Mondi na timu yake hawampondi alikiba mashambulizi yote kwa konde Boy worldwide. Mzee mzma Kiki zimeishaisha kaona bora amuite yule x...
Mwanamziki nguli wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize ameshutumiwa na "wasanii wadogo" Lizu Dady na Phamo S kuiba idea ya wimbo wa wimbo wake mpya unaoitwa "huo ni ushamba".
Wasanii hao wanadai...
Sijui nitaelewee... nitaeleweka kweli!
Hivyo hivyo tu.
Ukiacha ile wachezaji wa mpira kubadilisha jezi, kuna mmoja hapa bongo alilia kiatu. Nimemsahau kidogo, basi acha hiyo.
Kuna hizi zawadi...
Habari za maisha wakuu,
Kile kipindi kilichowahi kujizolea umaarufu kupitia television ya taifa miaka ya nyuma kidogo kilichojulikana kama Maisha Plus ukiwa ni ubunifu wa mchora katuni na...
Leo nilikuwa napitia huko youtube nimegundua wasanii wetu watachukua muda mrefu kufikia level za wasanii wa naija. Kwanini tunaachwa mbali sana nyimbo za wasanii wetu ukizisikia zinavyolia kila...
Wadau,
Naomba mnisaidie kuelewa, hivi ni nini sababu ya kutoelewana;
1.Diamond na Ali Kiba
2.Fid Q na Joh Makini
3.Kala pina na wasanii wote [emoji23][emoji23]
4.Sister P na Zay B
5.Wanaume...
Zama zile za miamba ya nguvu, mapawa walitikisa hasa, miongoni mwao alikuwepo Pawa Mabula, Pawa Mwanakulya na wengine wengi.
Pichani ni tangazo la Pawa Mwanakulya
Ila huyu chuchunge ni Sikio la kufa, kutwa kujidhalilisha kisa Diamond , huyu si aliambiwaga mchawi na familia Nzima? Kutwa kuwafuata fuata kitu gan wakat hawakutaki, hata domo mwenyew angekua...
Habari wana JF
Nadhani tuna haja ya kujadili mambo ambayo wasanii wetu wanayafanya ambayo kwa kiasi kikubwa yanaharibu utamaduni wetu na yatapelekea vizazi vijavyo viyaone ni ya kawaida...