Pawa Mwanakulya (Jitu Lishibalo)

Pawa Mwanakulya (Jitu Lishibalo)

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,439
Reaction score
166,901
Zama zile za miamba ya nguvu, mapawa walitikisa hasa, miongoni mwao alikuwepo Pawa Mabula, Pawa Mwanakulya na wengine wengi.

Pichani ni tangazo la Pawa Mwanakulya

FB_IMG_16049988368041440.jpg
 
Aya majitu kuna mengine yalikuwa yamechanjiwa mitishamba mwilini ama ni nguvu za asili?
Kuna Power Mwanza alafu Power Mabula hizi njemba nilishawai kuona shughuli zao,sio za kitoto.
Soma hapa utaongeza maarifa kidogo.
 
Back
Top Bottom