Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kupitia Insta Story yake msanii Marioo ameandika kuwa, “Kabla ya kila kitu Niliahidi kutoa Ngoma Week ya kwanza ya Mwezi huu ambayo ilikuwa ndo leo tars lakini Baada ya kila kitu. kutokea...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu, napenda nyimbo za Lucky Dube, Kuna ile anamuambia Mama yake kuwa ametendwa na mwanamke, Na kuna ule analalamika amekuwa Mtumwa wa pombe, hivi Lucky Dube akuacha watoto wakubwa?
11 Reactions
119 Replies
29K Views
Haikuwa rahisi.. Ulikuwa ni ugomvi mzito.. Pesa ikashinda. Kinje alimsaidia Jacky ku-maintain maisha classic ya mjini, career yake ya mitindo/music na kumpatia exposure.. Mengi alikuwa ana ofisi...
69 Reactions
954 Replies
181K Views
Wakuu! :D:D sasa hii ndio kazi yako Mkojani, endelea kuchekesha Watu tu! Mwigizaji na mchekeshaji Abdallah Mohamed Nzunda, maarufu kama Mkojani, amemwaga machozi akidai kufadhaishwa na matokeo...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Dozi inaanza kumuingia taratibu Diamond, kila akipost hapati comments wala like za kutosha kama mwanzoni hivyo inadhihirisha nguvu yake ya ushawishi inazidi kuporomoka. Kuna post mbili alipost...
25 Reactions
50 Replies
3K Views
Inadaiwa Kampuni ya Pepsi imeamua kujitenga na Diamond Platnumz ili kujiweka salama baada ya kadhia iliyozikumba baadhi ya kampuni Oktoba 29, 2025. Hii imetokana pia na presha ya watu mtandaoni...
0 Reactions
1 Replies
428 Views
Mgahawa wa Shishi Food unaomilikiwa na mwanadada mrembo Shilole na duka la electronic la Nenga Tronix linalomilikiwa na msanii machachali Billnass, vilishika moto kipindi mtandao umezimwa. Chanzo...
11 Reactions
45 Replies
3K Views
Mbunge mteule wa Jimbo la Kigoma Mjini Kupitia CCM, Clayton Revocatus Chipando Maarufu Baba Levo akieleza furaha yake Siku yake ya kwanza Bungeni ambapo leo Novemba 11. 2025 amekula kiapo rasmi...
5 Reactions
10 Replies
802 Views
Wengi wetu tumeshuhudia jinsi baadhi ya celebrities hasa wasanii na wanamuziki walivyokuwa wakishiriki si tu kwa kuonyesha mapenzi yao ya kisiasa kwa upande flani, bali pia wakivuka mstari...
1 Reactions
7 Replies
306 Views
Anaitwa Joseph jamaa anajua sana uyukuigiza I think alichoigiza huwa anakifanya
0 Reactions
7 Replies
436 Views
Nimepita page za wachekeshaji mtandaoni maarufu kama COMEDIAN WA BONGO , Jamaa wanaomba matangazo hata ya Tsh 50,000/= na kumaliza kwa kusema "NJAA ITATUUA" Mkawasapoti wapate unga na dagaa...
2 Reactions
12 Replies
708 Views
Kwanza niseme tu leo lazima nifungue champagne Nilikuwa naangalia nomination list ya Grammy kwa mwaka huu ambayo imetoka muda mfupi uliopita Kuna kile kile kipengele cha Best African Music...
3 Reactions
16 Replies
615 Views
Wakuu, Naona Watanzania mmepelekea moto wasanii mpaka sasa imefikia hatua wanaahirisha show zao Tuko kwenye first stage ya Cancel Culture. Tukiendelea hivi tunaenda kutengeneza wasanii ambao...
5 Reactions
17 Replies
982 Views
Msisahau kureport kabla ya ku unfollow. Na msiwape engagement yoyote hao chawa. miziki na muvi zao watazisikiliza wenyewe.
7 Reactions
21 Replies
895 Views
Haijaisha mpaka iishe. Tunaanza walipoishia wao. Kama kweli una uchungu wa watu waliopoteza maisha kwa ajili ya mama yule kuingia madarakani kibabe akisaidiwa na wasanii uchwara kumpa promo...
14 Reactions
89 Replies
3K Views
Kitendo cha Diamond kumuunga mkono Samia kweye siasa uchwara kitamgharimu. Kwa sasa najiuliza kama huyu ni Diamond au Demon. Naoma msaada.
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Msanii wa muziki nchini Joh Makini ameungana na watanzania katika kipindi hiki kigumu "Pole yetu sote Watanzania lakini zaidi kwa ndugu jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao Mwenyezi Mungu...
1 Reactions
6 Replies
439 Views
Baada ya lawama nyingi kutoka kwa wananchi zikiwalenga wasanii na watu maarufu kwa kutosimama na raia wanapopambania utawala wa haki badala yake wasanii wamekuwa upande wa watawala na kudidimiza...
3 Reactions
17 Replies
785 Views
Ninakiri na wengi mnajua namna nilivyokuwa ninamsapoti Diamond Platnumz, Ila kutokana na maujinga yake nilipunguza rasmi ushabiki wangu kwake labda baadaye sana kama itatokea atabadirika na...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…