Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nimetizama hii video ya Mario iliyofanywa na Adam Juma,jamaa kazi anaijua yaani pamoja na kupumzika bado anawapiga gap kubwa hawa vijana wa siku hizi.
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Aisee katika watu wanavita Kali na haijawah kuwepo ni Harmonize. Fikiria anapambana na fanbase aliehusika pia kuwatengeneza. This is a total war. And trust me a hero have never died in the middle...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Wimbo wa attitude wa Harmonize yafikisha views million 3 ndani ya masaa 27 you tube. Hii ni record ya aina yake inawekwa na Harmonize. Kama anatania vile lakini ndio anachukua kijiti Cha king of...
19 Reactions
135 Replies
18K Views
Ukiangalia mikakati ya Harmonize baada ya kutoka WCB ... Utagundua alipunguza Sana Kwanza safari na collaboration za nje. Sababu ilikuwa kutengeneza fanbase bongo Kwanza. Pia kuhakikisha...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Tangu muziki wa kizazi kipya 'BongoFleva' umeanza kutamba kumejitokeza nyimbo nyingi za wasanii mbalimbali ambazo zimefanikiwa/zilifanikiwa kuvuma kiasi kwamba hata watoto wadogo...
1 Reactions
43 Replies
9K Views
Wakati Mbeya fm inaanzishwa kuna mtangazaji mmoja alikuwa akijiita tolu wa ajabu. Kipindi hicho tulikuwa tunaiona radio hiyo ya kizembe sana. Kiss ndiyo ilikuwa inabamba. Sasa nimeambiwa kuwa...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Tazama hapaAlikiba ni baba anayejivunia wa watoto watatu. Muimbaji huyo wa ‘Mwana' ameamua kuitambulisha familia yake hiyo kwa mashabiki wake katika kuukaribisha mwaka mpya 2015. "Nawapenda...
3 Reactions
270 Replies
96K Views
MTANZANIA AIBUKA KWENYE VIDEO INAYOTREND DUNIANI Kuna Video inayotrend kwa sasa Duniani Inayowaonyesha Vijana watatu waliovalia Taulo nyeupe Wakivuka barabara huku walicheza huko Washington...
7 Reactions
33 Replies
5K Views
Kuna mtangazaji wa kipindi hicho kila anapoita celebrity kuja kufanya naye mahojiano akiona kapendeza au kaja na kitu kizuri sana ana msemo mmoja kama wa kuidharau nchi yetu kwa kusema mfano...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Tusiongee Sana, hivi msanii akitoa wimbo ukawa na views wengi inamaana ndo mziki mzuri , au views inategemeana na popularity ya aliyeutoa mziki huo. Kwasababu Kuna miziki ukisikia ni ya kawaida...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Duu huyu jamaaa kadri siku zinavyozidi kwenda ndo anazidi kufanya maajabu
1 Reactions
64 Replies
19K Views
Wadau Leo nakuja kivingine , huyu jamaa nilikuwa bado sijampata vyema , Joti ni legendary anayeishi upande wa comedy , mwamba anaweza Igiza angle yoyote unayotaka wewe. Hata script za...
21 Reactions
115 Replies
8K Views
Baada ya Majizo kuandaa press conference kwenye media yake na kushambulia wasanii wanao trend mitandaoni na wanaopata views nyingi, akisema ukali wa msanii haupimwi kwa views au trending. Jabali...
35 Reactions
95 Replies
14K Views
The Duke and Duchess of Cambridge have released a new picture of Prince Louis to celebrate his third birthday and mark his first day at nursery school. The photograph was taken at Kensington...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Freddie Mercury alizaliwa King Stone Zanzibar na kukulia visiwani humo kabla ya Wazazi wake kuhamia India na baadaye Middlesex England Kwenye ulimwengu wa burudani jina lake linatambulika kama...
0 Reactions
53 Replies
12K Views
Wandugu japo mimi sio mhenga lakini huwa nina mtindo wa kusikiliza nyimbo za zamani hivyo nimeskiliza nyingi sana hata nilipowahi kuwa dj ujanani nilizipiga na mzee wangu anazo nyingi. Sasa kwa...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Leo nimeukumbuka ule wosia wa Jide kwa Watanzania endapo atafariki kabla ya Ruge na Kusaga. Namaanisha huu > Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa - JamiiForums Humo...
3 Reactions
8 Replies
8K Views
Jackie (sijui inaandikwa hivyo) yupo jela huko China kwa kesi ya kukamatwa na dawa za kulevya. Miaka kadhaa sasa. Ni video vixen. Fashion Model. Slay queen. Paper chaser na hardcore japo mrembo...
0 Reactions
60 Replies
12K Views
Majani anasema mtoto wake alimkataa, ila hasemi ilikuwaje wakafika hali hiyo. Majani anasema kwenye radio kuwa mtoto wake kazaliwa na mama asiyestahili. Majani anaitangazia dunia kwamba binti...
11 Reactions
111 Replies
14K Views
Amefariki jana, akiwa na umri wa miaka 51. Ni rap aliyekuwa na pdiddy kwenye kundi la Bad Boyz. Ngoma yake iliyomtambulisha na ambayo ilinifanya ni mjue ni like wooh. Amefariki dunia baada ya...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…