Tukiachana na ushabiki Diamond siku hizi kaishiwa kabisa no ubunifu yaan ukisikiliza nyimbo anazotoa siku izi na zile za kitambo kuna utofauti mkubwa mno coz siku izi anatoa nyimbo mbovu sana na...
Wakuu,
Kuna uzi nilianzisha humu kuhusu wasanii wa Tanzania kutosainiwa na lebo za kimataifa
Hoja ya Mdau iko hapa ~ Ayra Starr amesainiwa Roc Nation. Tanzania tunafeli wapi wasanii wetu...
Bwana juzi nimekaa zangu home, nikawa nasikiliza zile nyimbo za zamani za Aslay akiwa dogo. Nikaplay wimbo wake "Niwe Nawe", halafu ghafla nikasema, “Subiri kidogo… hii sauti mbona kama najua?”...
Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums,
Kumekuwa na gumzo kubwa mitandaoni kuhusu mtu anayejulikana kwa jina la MX Carter. Inaonekana kuwa jina hili limehusishwa sana na masuala ya usambazaji...
Wakuu,
Huko Nigeria sasa hivi ni shangwe na vigelegele tu maana kuna msanii wao wa kuitwa Ayra Starr amemwaga wino kwenye kampuni iliyoanzishwa na JAY Z ya kuitwa Roc Nation.
Nilichopenda ni...
Mwanaharakati maarufu katika mitandao ya kijamii aishiye Marekani, Mange Kimambi na nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Isihaka Nassoro maarufu Aslay, wamefunguliwa kesi ya madai kortini...
Dogo paten ni msanii wa singeli aliyebahatika kutengeneza hitsong moja ya Afande.
Kwa kuwa ni msanii average haitotokea atoe hitsong nyingine bahati uwa haitokei mara mbili.
Nachoshangaa sababu...
Mwimbaji wa muziki wa injili, Goodluck Gozbert amedai kuwa kuna watu walitumwa kuondoa uhai wake baada ya tukio la kuchoma gari alilopewa zawadi na kiongozi wa Kanisa la Ngurumo ya Upako, Nabii...
Naangalia hapa Clouds TV mubashara wanaonesha birthday ya mtoto wa Omari na Paula (Amarah) naona dogo Paten anatumbuiza na kutunzwa minoti ya kwenda.
Kimasihara sana dogo naona ametoboa, atumie...
Walimbwende Suchaata ambaye ni Miss World pamoja na Miss World Africa Hasset Dereje wakiongozwa na mwanamitindo Mustafa kwa kushirikiana na taasisi ya Doris Mollel Foundation, wametembelea wodi...
Maskini hasaidiki kwa kweli, yani huyu Nuhu mziwanda alivyokuwa ana jiliza dms za wasanii wenzake mfano Diamond, Alikiba, Marioo, Rayvan,Harmonize nk na wote kumfungia vioo ,Chino akajitokeza...
Huwa sipendelei kuchunguza maisha ya watu lakini hapa kuna kitu cha kujifunza kidogo hasa kisheria
hii ni kutokana na hawa jamaa wawili walio jitoa fahamu.
Kwangu huwa nawaona kama moja ya...
Wanamwita manju wa muziki. Huyu ni mtangazaji mkongwe na nguli wa maswala ya muziki na wanamziki, kupitia TBC.
Ukimsikiliza Masoud, utaelewa umuhimu wa specialization katika utangazaji, uandaaji...
Huyu msanii anaitwa Nuh Mziwanda namfahamu mama yake ni MTU wa dini.
Kama familia mnaweza mpeleka kwenye kituo cha matibabu ya akili na vilevi (Sober rehabilitation)
Tofauti na hapo either...
Connie Francis, nyota wa muziki wa pop aliyejizolea umaarufu miaka ya 1950 na 1960 kwa nyimbo kama “Pretty Little Baby”, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87
Taarifa za kifo chake zimetolewa...
I salute you kinsmen.
Mimi sio kijana wa zamani kwamba najua nyimbo za zamani hasa hizo rhumba sijui zouk ila nikiri nilizipenda nyimbo hizi kutoka kwa mzee wangu ambaye alikuwa anazipenda sana...
.
Msanii maarufu wa muziki wa asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto, amepatwa na msiba mzito baada ya mke wake kufariki dunia mapema leo kufuatia kuugua kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa taarifa...
Katika kuperuzi huku na kule youtube si nimekuatana na nyimbo za huyu anaitwa Monique Sekka, nilikuwa simjui, nadhani atakuwa mkongo huyu. Yaani hadi sasa kichwa kinauma baada ya kusikiliza 'Yaye...