Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Jina WCB ndo jina maarufu la kisanaa Kwa sasa.....Diamond Platnumz hajatokea from no where , nakumbuka mwaka 2010 nikisikiliza radio free Africa kulikuwa na kipind cha kushindanisha wasaniii na...
17 Reactions
47 Replies
5K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni Jijini Dar es Salaam linamshilikia mfanyabishara maarufu, Marijan Abubakari maarufu kama Papaa Msofe kwa tuhuma za mauaji. Habari zinasema kuwa Papaa Msofe...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Anaandika Zari ... Understand that this is very difficult for me to do. There have been multiple rumors some with evidence floating around in ALL SORTS of media in regards to Diamond’s constant...
34 Reactions
471 Replies
66K Views
Earl Simmons ajulikanaye kama DMX alizaliwa tarehe 18 December 1970 huko Mount Vernon, New York, Marekani. Wazazi wa Earl Simmons (DMX); Arnett Simmons na Joe barker walijaliwa kumpata mwanao...
8 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomi Campbell becomes a mum at 50 as she shares photo of newborn baby The supermodel shared a picture of her newborn daughter today and wrote: “A beautiful little blessing has chosen me to be...
8 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari za kushinda wakuu. Uzi huu nataka tujuzane je, ni mkoa gani wenye wasanii wengi hapa Tanzania? Hapa naongelea wasanii wote kuanzia waigizaji, waimbaji na wachekeshaji. Je, itakuwa mkoa...
1 Reactions
10 Replies
8K Views
Grand P katika pozi Kiboko ya Grand P anaitwa Eudoxie Mtot mkali akiwa paris, shukrani kwa Grand P
10 Reactions
167 Replies
20K Views
Wahenga wenzangu wa zamani nadhani mtakua mnamkumbuka dada kama si mama ambaye alipata kuimba kua dunia ina mambo...ooh mwanangu dunia ina mambo ..dunia hii mama lukumba lukumba dunia ina mambo...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Mdogo wangu Harmonize naona jana umeachia nyimbo ya kumsifu mama, ila sidhani kama umeshausoma upepo wa mama kwa sasa upoje, mdogo wangu mama sio kama mwendazake yaani hapendi kusifiwa sifiwa tena...
39 Reactions
43 Replies
6K Views
Korean drama imeteka soko la dunia sio tu huku kwetu bali ni duniani kote Korean drama zinaonekana.Hii imepelekea waigizaji wa Korean drama kulipwa pesa nyingi mno.Wengine umaarufu wao umekua...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Unaukumbuka msemo wake mmoja? Weka hapa tuone. Na kama unamfahamu na bado upo kwenu kwa baba na mama mpaka leo kaka/dada unazingua.
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wakulungwa? Nakuta tu huko fb kumepamba moto, mara Raptcha afukuzwe na mawe, mara aokolewe mara alaumiwe. Please help me to understand what's going on? Asanteni . -------- Jibu: Ni...
11 Reactions
14 Replies
5K Views
Licha ya ndoa yao kuwa one of the biggest wedding ever iliyowahi kutokea South Africa, wanandoa maarufu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja, kutoka South Africa , Somiz (47)& mohale...
6 Reactions
176 Replies
18K Views
Ukweli ni kuwa jamaa sasa anaanza kupata matatizo kila unaemsikia hawamzungumzi kwa jema na wengine wamefika mbali kwa kusema msanii Diamond ameanza kupata laana arudi haraka kwa mzee Abduli...
1 Reactions
50 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu. Kama sikosei mwaka 2008 kuna tamthilia ya kuelimisha jamii kuhusu Ukimwi, ilirushwa ITV iliitwa Hukumu ya Tunu. Ilikuwa maarufu Sana kwa kipindi kile. Ilikuwa Tamthilia nzuri...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Wanajamvi naomba kujua walipo kwa sasa watangazaji wa zamani wa chanel five.Adamu Mubago(bab kubwa) na pia Abba one na Lil Tk(back 2 back)
2 Reactions
49 Replies
10K Views
Mbona kama wiki mbili hivi sijamsikia Fredwaa redioni .... CloudsFM na hata wenzake hawamtaji taji kama siku Babra labda hayupo au Masoud hayupo ....
2 Reactions
53 Replies
18K Views
licha ya kwamba mimi si msikilizaji sana wa clouds fm ila tangu enzi za Masoud kipanya, Phina Mango na Hando nimekuwa ni msikilizaji wa kipindi cha power breakfast. Sasa shida yangu ni huyu...
9 Reactions
96 Replies
23K Views
Baada ya mume wake kuwa anatoweka ofisini muda wa kazi, Melinda alitaka kujua huwa ana kwenda wapi. Alikodi Private Investigator. Report ya PI huyo imefahamika kuwa jamaa alikua anakutana na...
14 Reactions
37 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…