Wakuu Cristiano Ronaldo ameitoa sababu ya kuachana na Irina Shayk.
Cr7 anasema Kwamba Tulielewana sana, lakini alikuwa na tabia ya kusema: 'Kwanini unamleta mama yako kila mahali tunakokwenda...
Hawa kina dada siku hizi wako wapi
Sinta alitikisa vyombo vya habari kupitia magazeti kila kukicha sinta , sinta
Nina alikuwa anaigiza katika kikundi cha kaole lakini sasa hajulikani yuko...
Jua linazidi kuchomoza Kwa mtanzania Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET dhidi ya nguli wa Mziki Burna Boy ...
Akiwa under high criticism kuhusu support kwenye nchi yake mwenyewe nguli huyu wa...
Watanzania tumejaaliwa majungu chuki na wivu , hzo ndizo zawadi Bora kabisa tulizoachiwa, na Kwa kweli tupo vizur na tunazitendea haki,.....thus why Sisi ni moja kati ya nchi kumi zenye umaskini...
Wakuu
Kwa muda mrefu nimeskia haya juu ya wasanii wa hao ndugu zetu Congo. Madai na Story zimekuwa nyingi sana. Kwamba jamaa huwa wanaamini bila uchawi muziki hauwezi kutusua. Na wanauamini sana...
Wadau wa mziki wanadai pale Wcb hakuna ubunifu
Diamond anasikiliza nyimbo za kinaijeria ili afanye remix
Director kenny anaangalia video za wengine ili afanye remix
Reyza anasikiliza beat za...
Kila siku huwa nasema Vannyboy ana kipaji konki sana kwa nyimbo za kubembeleza , na hivyo kwenye hiyo angle inabidi asimamie ukucha kweli kweli, Hana mpinzan right now, Ngoma kama KELEBE inabd...
DIAMOND USIWAPUUZE KINA KIGOGO NA WANAMTANDAO, HAO SIO KINA KONDE NA SHILAWADU
Na, Robert Heriel
Diamond hapaswi kupuuza hii movement ya Wanaharakati wa kimtandao na wanasiasa, asije akafikiri...
Kutoka jijini LA Marekani tunawaletea matangazo ya moja kwa moja kwenye utoaji wa tuzo za BET 2021, mAstaa kibao wametua jijini hapa tayari kwa hafla hii kubwa duniani,ambapo macho na maskio ya...
Mimi mpenzi wa Clouds Power Breakfast, Leo Tena sisikilizi na XXL. Naruka kwa kina Gadna siku inaishia. Walikuwa na bifu na Diamond Platnumz hawachezi nyimbo wala kutaja jina lake. Naona...
Kulingana na hali ilivyokuwa tangu kutangazwa kwa nominies wa tuzo za bet mwaka huu ilijulikana kabisa kuwa mwana kwetu, mwakilishi wetu hana ubavu kabisa kati ya miamba aliyokutana nayo.
Ni...
Huyu ni the gifted ALIKIBA mashabiki zake wengi wanamuita "King wa bongo fleva" nimeanza kumsikiliza siku nyingi since 2007 ndo nilipata fursa ya kumsikiliza kwa mara ya kwanza kwenye nyimbo yake...
kupitia ukurasa wake rasmi wa instagram, aliyewahi kuwa mbunge wa mbeya mjini amepost clip inayomuonyesha akimtunza mwanamziki cristian bella jukwaani.
link hii hapa:
NB:
nikiwa kama shabiki wa...
Wakati viumbe wa Twitter wakianzisha kampeni ya kutaka BET wamuengue Diamond kwenye tuzo za mwaka huu kwasababu za kisiasa na wivu binafsi.
BET wenyewe hawana hata muda huo
Kwa wale mliiona ile post ya Diamond kipande cha wimbo wake mpya na Wizkid akapost emoji ya kucheka mkae mkijua tu huko Nigeria jamaa washamchukulia ni kilaza anayegeza hits za huko na ku twist...
Naomba kujua nini kibaya Diamond Platnumz anakosea tofauti na wasanii wengine?
Nini afanye ili iwe sawa naonaga watu wanamshambulia ila sijawahi sikia mtu yeyote akisema makosa anayofanya tofauti...
Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohamed bin Salman katika kuufanya ufalme huo kuwa wa kisasa (modernization) amamua kumkaribisha entertainer mwanadada wa Marekani mwenye asili ya Mashariki ya kati...
Ni kweli, ni kweli kabisa nimefurahi Diamond kukosa tuzo za MTV. Mnaweza kushangaa lakini huo ndio ukweli wangu. Na ninampongeza kwa dhati kabisa Wizkid kwa kupata tuzo. Lakini kwa nini nafurahi...
Akielekea kuachia album yake mpya msanii wa kitambo Ali Saleh Gentamilan au Ali Kiba, amemdiss Mfalme wa Afro Pop duniani Diamond Platnumz.
Lakini wadau wameusisha diss yake na promotion ya album...
Habari zenu,
Kwakweli kama wote mnavyojua kijana Diamond Platnumz ni moja ya vijana wapambanaji sana katika nchi hii,ni wale vijana waliotoka from the bottom huko chini kabisa na wakafanikiwa...