Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Habarini wakuu Mara tatu nimefuatilia kipindi cha Stand up Comedy (WATU BAKI) kinachorushwa na channel "Maisha Magic Bongo 160" kupitia king'amuzi cha DSTV. Nimemuona kijana anaitwa Deogratius...
5 Reactions
37 Replies
48K Views
Baada ya kuacha kuangalia bongo movies na series kwa.muda mrefu kuna siku nikaambiwa sasa wapo vyema wamekuja upya ndani ya sinema.zetu Azam TV..wakati huo kuna tamthilia ya Single Mother na...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Leo Nimekutana na battle ya Zuchu na Tems cz wote wamewekwa kwenye category moja za kuania tuzo Ila Ushabiki tuweke pembeni Zuchu kwenye kuimba aha Mashallah anajua yupo vizur kweny kila angle...
2 Reactions
68 Replies
6K Views
Siku chache tu baada ya kutambulishwa... msanii mwenye talent ya kushangaza aitwae Mac Voice kutoka kampuni ya muziki ya Nextlevel, ameanza kuandika rekodi nzuri kwenye mauzo. EP yake ya my voice...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wakuu, Msanii wa Bongoflava Rayvanny juzi amemtambulisha msanii wake mpya wa Lebo yake ya Next Level Music anayeenda kwa jina la Mac Voice. Nimesikiliza EP ya dogo, kiukweli anajitahidi...
1 Reactions
20 Replies
10K Views
Wivu ni hisia zinazotokana na mapenzi na zinazalishwa haswa na uoga wa kwamba mtu anayempenda anapenda zaidi kwingine. . "We ndo my pain killer kushinda hata panadol umejaa mapenzi mashetani...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Harmonize kweli anakimbiza sanaaa hasa ukitembea kumbi nyingi za Starehe ngoma zake ndo zina bamba sanaaa. Hata Kajalee naona kama anamuwaza dogo sana hasa na Post zake kule Inst.Na hisi kwa...
22 Reactions
103 Replies
10K Views
Willow Smith ambaye ni mtoto wa kike wa star wa filamu Marekani Will Smith (52) amempongeza mama yake mzazi Jada Pinkett (49) kwa kumwambia ukweli baba yake mbele ya TV Show yao ya " Red Table...
3 Reactions
78 Replies
13K Views
KISA CHA PAULINE ZONGO Kutoka kwa Mdau wa Jamii Forum; Pauline Zongo alitamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 akiwa na kundi la muziki wa kizazi kipya la East Coast lililowajumisha wasanii mahiri kama...
5 Reactions
29 Replies
8K Views
Taarifa zaidi inafuata. R. Kelly convicted of racketeering and sex trafficking by a federal jury in New York By Sonia Moghe, CNN Updated 2103 GMT (0503 HKT) September 27, 2021 Hear...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Snoop, born Calvin Broadus Jr., has been with his wife Shante Taylor for over 24 years. They were high school sweethearts and got married on June 12, 1997. Their marriage produced three children...
8 Reactions
11 Replies
3K Views
Leo nimeshtuka sana baada watu wakimnadi ray vanny kafungua mgahawa wake. Nikasema jambo zuri lakini nikaanza kupata wasi wasi Kwa sababu mtu ambaye anafanya hivi vitu ni mtu ambaye na mfahamu...
5 Reactions
89 Replies
12K Views
Macvoice huyu dogo ni talent sana anajua kuandika mashahiri vizuri, Melody ndo hatari kabisa Huyu dogo na EP yake ya My Voice itafanya vizuri Rayvanny kajitoa sana kumtoa kijana yaani unaona...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu lem declare interest Kwamba mimi ni sehemu ya Eng. Usiri ambae Alikuwa ni Land Lord Wa Msanii Harmonize. Msanii Hrmonize ni Kweli anadaiwa Kodi na Mjomba Yangu Wangu Eng. Usiri na Aliondoka...
4 Reactions
90 Replies
12K Views
Mwanaharakati na mtangazaji wa kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria ameonekana kufurahishwa na mumewe ikiwa ni miezi sita sasa imepita tangu atangaze mitandaoni kuwa mumewe haudumii familia yake...
0 Reactions
105 Replies
18K Views
Jamaa kiukweli anajua kwenye masimulizi creativity ya hali ya juu niliacha kusikiliza The Story book hasa baada ya Mtiga kuondoka ila kwa Sasa jamaa Ni Moto wa Kuotea Mbali Professor
9 Reactions
45 Replies
10K Views
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Naandika nikiwa na huzuni zilizochanganyikana na hasira kali. Jana hata leo kinacho-trend mitandaoni ni matangazo ya mkutano mkubwa wa injili. Ni...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Taarifa: MwanaMfalme William na Mkewe Kate Leo Aprili 29, 2021 Wanasherehekea Kutimiza Miaka 10 Ya Ndoa Yao MwanaMfalme William ambaye ni Mfalme mtarajiwa wa Uingereza na Mkewe Kate...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwigizaji huyo mashuhuri kutoka Kenya anaeleza jinsi ambavyo Harvey Weinstein, meneja ya kampuni ya utengenezaji filamu, alimnyanyasa kijinsia. Weinstein anasakatwa na sakata la unyanyasaji wa...
11 Reactions
72 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…