Watanzania wengi katika mitandao ya kijamii hususan instagram wameonekana kukerwa na msanii Gigy Money kwa namna alivyokuwa akicheza densi isiyo ya kistaarabu huku ameshika bendera ya taifa...
Mbunge wa Nzega vijijini Dr Kigwangalla amesema hakuna Hamis fala wakati akisalimiana na mbunge wa Muheza Hamis Mwinjuma
na kupost kwenye ukurasa wake wa twitter.
Ikumbukwe akina Hamis wote...
Habrini wanajamvi:
Nimesikitiahwa sana na mtu mmoja ambae ametoa ya moyoni kwa kupinga kuwa ZUCHU sio msanii namba moya wa kike hapa nchini[emoji23][emoji23][emoji23].
Inabidi watanzania tuache...
Kuna wimbo wa Fid Q unaitwa Siri ya Mchezo, kuna mstari anasema ".....wajinga watashangaa kuomuona Martin kadinda, usmart anautinga majumba mandinga..."
Leo nimeona picha ya pamoja Martin akiwa...
Wakuu kama mjuavyo mtu wenu ambae chochote kibaya kizuri kwangu ndani ya Jf siwezi ficha wala kukaa kimyaa.
Dogo Harmo katoa nyimbo nzuri sanaa ila sasa hii nyimbo pasi na shaka kamuimbia bibi...
Curtis Jackson ameendelea na bifu lake na Floyd Mayether kwa kuchoma vazi la GuCci Kama njia ya kuhamasisha kupinga ubaguzi wa wazungu. Hatua hiyo ilitokana na Kampuni ya Gucci kutengeneza Nguo...
Mama Diamond Platnumz and her young husband Uncle Shamte are now facing some serious relationship issues. According to their social media, Mama Dangote has unfollowed her bae.
It is however...
Kuna watu wamekuwa wakimsema sana sadala kwamba anatakiwa sasa aoe, huwa siwaelewi hawa watu wanamtakia nini jamaa yetu.
Yani kijana ana watoto 4 wanaofahamika tayari, ana mali zake za kumwezesha...
Kufuatia uchapa kazi wa Bongozozo hatimae leo bungeni amebatizwa jina la kisukuma ambalo ni Masanja ili kuenda kasi ya uchapakazi na uzalendo wa wasukuma nchini Tanzania.
Huwezi kuona msukuma...
Mke amfanyia ‘kitu mbaya’ staa wa soka
ByMtanzania Digital
November 1, 2021
PRETORIA, Afrika Kusini
MPACHIKAJI mabao wa zamani wa Orlando Pirates, Tendai Ndoro, amejikuta akipoteza mali zote...
Mwanamuziki Tory Lanez pengine akatupwa jela kwa muda usiopungua miaka 23 ikiwa atakutwa na hatia juu ya kesi inayomkabili ya kumpiga risasi rapa wa kike kutoka nchini Marekani Megan Jovon Ruth...
Kutoka EATV facebook wall,
Kwa mara nyingine tumebarikiwa kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mfanyakazi mwenzetu mwenye umri mrefu zaidi hapa ofisini. Jina lake halisi ni Emsly Smith maarufu kama...
Vijana wa kileo tunapenda sanaa ushabiki bila facts.
Ila hili la nani ana miliki WASAFI TV TCRA walishalitolea ufafanuzi zamaniii (tokea 2018)
Ukifupi mmiliki wa WASAFI TV ni Kusaga
Kwanini...
Mwanasosholaiti Risper Faith amemwanikaTanasha Donna kwa madai ya kukosa kulipia pesa za upasuaji wake. Jumbe zilizopakiwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Edgar Obare, Risper alidai kuwa Tanasha...
Katika mtandao wa Twitter umeibuka mzozo mkubwa kati ya baadhi ya wanaharakati na wanachama wa upinzani dhidi ya Tuzo zilizoanzishwa na kijana aitwaye Kennedy Mmari. Wengine wamefikia hatua hadi...
Kituko ninachokikumba ni cha rafiki yangu wa shule ya msingi Theresia, yeye alikuwa anaishi karibu na shule lakini alichokuwa anakifanya anaamka mapema anakuja nyumbani kunifuata kisha tunaenda...