Msanii Nay wa Mitego kupitia ukurasa wake wa Insta ameeleza hayo hii ikiwa ni katika kipindi amabacho wananchi wanajitahidi kuwawajibisha wasanii waliokataa kusimama nao kipindi cha matatizo.
Nay...
Nimesikitika kuona wabongo wanajirudi tena kwa wasanii kama mazezeta.
Idadi ya followers kwa wasanii inaanza kurudi kwa kasi kama hapo awali.
Mfano huyu diamond nyodo anawaletea na bado kuna...
Wakuu.
Haya ni mapokezi Msanii Diamond na kwenye video ni Gen Z waliosema hawatamani hata kumsikia sijui imekuwaje, lakini ukweli ndio huo wakimzimikia Msanii wao.
Je, ni tukio lakutengenezwa...
Wakati wasanii wakikaangwa na mashabiki kwa kukosa matamasha na uungwaji mkono kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii, hatuoni BASATA wakifanya juhudi zozote kuwasaidia. Wapo kimyaaaaa, kama vile...
Baada ya nyimbo ya Mario kufanya vizuri kwa kigezo eti wamemsamehe Gen Z, pitapita raia wakashtukia mchezo mbona namba zinakimbia, baada ya kuangalia kwenye sehemu ya views namba zimekosewa...
Huu ni ujumbe wa KISIASA alioutoa Diamond Platnumz Kwa Watanzania akiwaasa waache Lawama na wafanye kazi.
Kwani Kila Awamu wanailalamikia serikali.
----------------------------
Kichwa cha habari kiko wazi. Tofauti ya wasanii wa kisiasa na kisanaa ni namna wanavyopatikana. Wanaweza kufanya lolote hata kujidhalilisha au kuwadhalilisha, kujidhulumu au kuwadhulumu...
Moja wa influencers maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Mwemba Burton a.k.a Mwijaku au Jaku Boy amejikuta katika njia panda baada ya kuchwa mke wake Alice ambaye walibahatika kupata...
Msanii wa hip hop Emmanuel Elibariki Munisi, maarufu kama Nay wa Mitego, ameachia wimbo wake mpya unaoitwa “Tupo Bize”. Wimbo huo umeelezwa kuwa ni ujumbe maalum kwa wasanii wa Bongo Fleva...
Katika Hali isio ya kawaida dada kaingia insta na kuanza kutia huruma eti huyo jamaa alie matapeli sababu, hamtaki kimahusiano ndo chanzo jamaa kumtapeli kibabe.
Wadau wahoji insta ndo mahakama...
Msanii wa Bongo Fleva, Beka Flavor, ametoa ujumbe wa shukrani kwa Mwenyezi Mungu akisema uhai ni kwa mapenzi na rehema zake, si kwa ujanja wa binadamu. Katika ujumbe huo, amewaomba Watanzania...
Yeap natamani huyu jamaa siku moja asimamishe shughuli zote za jiji la New York na watu waelekee kwenye show yake ya muziki ndani ya ukumbi wa Madison Square garden kwenye viunga vya Downtown...
"Jana usiku alisimamisha show yake kuwaambia watu waiombee Tanzania sababu ya mauaji yaliyotokea.
Meanwhile wasanii wa Tanzania wanapambana kuirudisha nchi kwenye hali ya hali ya kawaida ili...
Asilimia 2 TU watanzania ndo hawakumpigia kura mama yenu . Hizo asilimia 98 walimpa mama na nyie watawapa pia
Mmezoea kulalamika Kila awamu Kwa sababu ya uvivu na ulegevu
Pengine mkubali ule...
Wakuu kabla ya kuwahukumu hawa viumbe tujikumbushe kuwa wasanii ni watu wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii kuliko hata wanasiasa walio wengi. Kwa mfano Diamond peke yake ana ushawishi mkubwa...
Ni hivi wakati wa kampeni mliowengi kama 95% mlichagua upande wa kisiasa na mkatoa maneno ya kubeza kwa wapinZani mkasema chama chenu kina watu wengi na kina nguvu wapinzan n wachache
sasa...
Kheri Konde ameelewa kwa namna yake kwamba muda huu si wakulaumiana tena, yote haya yanatokea ni kwasababu watanzania wanamaumivu yalitokea Oktoba 29.
==================
Harmonize ameongea na...