Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Huyu Mwana HipHop alitamba sana na ngoma kama Matusi, Watu Buu, Nauza Kura Yangu. Muda sana sijamsikia kwenye gemu kwa mwenye taarifa zake wadau au ameacha mziki?
10 Reactions
60 Replies
10K Views
Song: Nimekata ringi Artist: Montra The Future ft Ruby. Yaeaah Aaah Verse 1 (Montra) Siku hizi sikai home, navunga mageto/ Nimechoka maisha ya kihome, kutishiana beto/ Pocket money ni...
3 Reactions
27 Replies
6K Views
Romy Jones amewaacha wanamtandao wakimpongeza kwenye mitandao ya kijamii kwa mara nyingine. Hii ni baada ya kushiriki chapisho hili kuhusu maadhimisho ya ndoa yake ambayo yamesambaa mitandaoni...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Wabongo hatuwezi kuendelea yaani mwenzako E FM amepanga event ya komaa concert Clouds nao wamepanga kumleta Rick Ross. Nakumbuka Lady Jay Dee alitangaza show Clouds waka andaa show na kumleta...
8 Reactions
46 Replies
7K Views
Leo nimepata sehemu nimekuta watu wanamuongelea bdozen ila nilikuwa na haraka sikuelewa story nzima Huyu mtu ni nan and why watu wanamuongea hivi [emoji848]
5 Reactions
68 Replies
54K Views
Msanii wa filamu bongo Vicent Kigosi (Ray) amesema watu wanakuwa weusi kutokana na shida. Chanzo; EATV
3 Reactions
78 Replies
12K Views
"Nimemuona pia Konde Boy Tembo hapa (kwenye orodha ya Wasanii waliotoa burudani) na kwa kifua kile cha Harmo kweli yeye ni Tembo, Kwa vikundi vyote vingine vilivyopanda hapa jukwaani kwa Burudani...
3 Reactions
42 Replies
6K Views
Mimi binafsi ni binadamu ambaye nikifika mwisho au nikisema inatosha, jua ama zako au zangu. Hakuna suluhu. Tafuta chaka lako la kujificha. Moja ya sifa za msanii King Kiba ni kuhimili...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Wana JF Wasalaam. Nianze kwa kusikitika kwa kumkosa Warumi, ambaye alikuwa anatupa burudani motomoto za vibweka vya wauza nyago Dar, tumekosa vitimbi vingi safari hii. Leo katika viwanja vya...
9 Reactions
24 Replies
5K Views
Ugomvi kati ya mastaa wa bongo kutoka Tanzania, Diamond Platnumz,Harmonize na Alikiba umezidi kuongeza baada ya Harmonize kufichua mambo kadha wa kadha hivi majuzi. Ni ugomvi ambao umeshuudia na...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Picha hii imewekwa kwenye akaunti yao ya Twitter huku wakiweka caption isomekayo Sauti Sol Family. Maswali yameibuka kuwa mbon akuna Mwanaume na Mwanaume je nao ni wapenzi kama hao wa jinsia...
10 Reactions
370 Replies
82K Views
Meneja wa Diamond Platnumz, Mkubwa Fella amesisitiza kwamba mwanamuziki anayewakilisha ndiye kigogo wa muziki nchini Tanzania. Akiwa kwenye mahojiano ya hivi majuzi na Mbengo TV, Fella ambaye pia...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
I don’t know but this pose looks so Gayish to me , Sijui kama ni marketing strategy to grab peoples attention au ndo kashakua ndugu wa bobrisky , what’s your opinion kuhusu hiyo picha ?
4 Reactions
77 Replies
15K Views
Wizkidayo a.k.a Star Boy...Ameendelea pale alipoishia usiku wa kuamkia leo amejaza O2 Arena pale U.K na kufanya bonge la show, Na sikujaza tu baadae alimpandasha mtu mzima Chris Brown. Msimu huu...
18 Reactions
103 Replies
10K Views
Wana JF Napenda kuona mpambanaji HM anavyochanja mbuga kuliko watoto wa ushuani, mtoto huyu kipindi cha nyuma alipotoka shule zote Saint Kayumba Tandika Secondary. Ona sasa anavyoizingua dunia...
8 Reactions
82 Replies
17K Views
Mi nimfuatiliaji wa watu waliong'aa na magwiji katika nyanja mbalimbali !! Kuanzia siasa, Bongo movies had music kwa hapa nchini Tanzania!! Sasa sijajua huyu MTU anajiita davito n nani hasa...
2 Reactions
122 Replies
75K Views
Huwezi kuona thamani ya kitu mpaka siku ukikose! Wako wapi wasanii wale waliopiga kelele kuwa wanashindwa kung'ara kwakuwa marehemu Ruge alikuwa anawanyonya? Wengi nawaona wakiwa na hali mbaya...
23 Reactions
92 Replies
9K Views
Kama mnavyo iona picha ya Rosiee hivi Mobeto amewezaje kumuweka kifuani huyo mwamba? Mobeto utakuja kufa ww yaani unabeba magunia manne ya mahindi? Wape mabinti wenzako mbinu za kubeba magunia...
13 Reactions
85 Replies
12K Views
Hamisa, ujio wako kutoka Dubai ni Habari kubwa. Ungetengeneza hela kubwa kama ungejizuia kuongea na waandishi wa Habari. Ukatafuta chombo cha Habari ambacho kingekulipa na kujitengenezea hela za...
20 Reactions
57 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…