Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kumbuka ambae pia ni moja ya mtangazaji wa E-fm katika kipindi cha uhondo leo amefunguka na kusema Masha love alimutupia mtoto kipindi akiwa mdogo na umri wa miezi 6 tu. Hayo ameyasema kumbuka leo...
11 Reactions
71 Replies
8K Views
WCB kama hakuna mlezi wa kuwapa mawazo ya kimaisha kuhusu huko mbele mtakuwaje na pesa zenu basi. Huyu kijana Rayvan jambo ulilolifanya kujitosa mpaka kumpeleka nje mchumba. Nimekuonea huruma...
2 Reactions
77 Replies
6K Views
Denzel amewapata watoto wake wote wanne pamoja na mke wake Paulette Washington, ambae alifunga nae ndoa mwaka 1983. Paulette ni mcheza sinema na aliwahi kucheza movie Wilma
6 Reactions
14 Replies
4K Views
Daaah. Nakumbuka jamaa akipita mtaa wa Kongo watu walikuwa wanaacha biashara zao na kufunga mtaa, nakumbuka matamasha ya wazi pale mnazi mmoja, Coco Beach na Biafra Kinondoni yani alikuwa tatizo...
2 Reactions
97 Replies
15K Views
Ndiyo muite queen vee bosset amezawadiwa mercedes benz pullman na mume wake lenye thamani ya zaidi ya shillingi za kitanzania bilioni 5. Wadada wa humu ndani iwe funzo kwenu na sio kuhongwa...
6 Reactions
48 Replies
6K Views
Jamani Fide amepungua hadi amekwisha. Tatizo sijui ni ugonjwa au ndio diet , watu wamjini mtujuze. We unamwonaje kapendeza au kaharibu? Angalia picha nilizoattach
1 Reactions
191 Replies
64K Views
Salaam wakuu Ni muda mrefu sijamsikia yule reporter wa itv mwenye swaga zake George Malatu mwenye taarifa zake anijuze jooooooooooji maratuuuuuuuuuu aitiviiiiiiiiii maraaaaaaaaaaaaaa
2 Reactions
32 Replies
7K Views
Tahasisi ya Basata imeamua kurudisha tuzo za wanamziki ambazo kipindi fulani zilishindwa kufanyika kutokana na sababu mbalimbali.Ukiwa mdau mkubwa wa mziki wa Tz unaishauri Basata nini wafanye ili...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau na wapenzi wa hip hop kuna habari mpya inayo trend kwa sasa baada ya lile kundi la mziki wa hip hop (Kikosi Kazi) kutangaza battle na kundi au mtu yeyote hatimaye juzi ya tarehe 3 msanii wa...
17 Reactions
341 Replies
34K Views
Mashalove a.k.a The don dada Anafunguka. Msani ambae pia ni muigizaji wa kitanzania anae fahamika kwa jina la masha love Anafunguka Mengi kuhusu Maisha binafsi, Mahusiano na mengine mengi. Masha...
5 Reactions
34 Replies
5K Views
Kuna watu wanadanganyana wanasema mziki wa bongo haulipi ila kwa wasanii wenye akili na malengo kama bwana Platnumz hapo ameamua kutuprove wrong. Sent using Jamii Forums mobile app
25 Reactions
153 Replies
33K Views
Wamaasai wanaotengeneza umashuhuri kwa kasi sana Ulimwenguni, lakini hapa Bongo kama watu hawana habari nao kabisa, Wanaweza kutoboa kimaisha mambo yakiendelea kama yalivo, ila huyu kijana...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
WCB bado wanaendeleza tabia yao mbaya ya kuiba mahadhi ya nyimbo za wasanii wengine ndani na nje ya nchi na hivyo kuvunja sheria mbalimbali zinazohusu inshu za hati miliki katika sekta ya Music...
4 Reactions
43 Replies
11K Views
Kuna kipindi huyu mtayarishaji wa mziki aliwika sana baada ya kutengeneza ngoma kadhaa za Belle 9 kama Masogange, Nilipe Nisepe, n.k. Hakuishia hapo alitengeneza ngoma kibao zilizowika sana enzi...
6 Reactions
43 Replies
7K Views
Wimbo ulio Bora 3 :4 Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, nikamwona mpendwa wa nafsi; Nikamshika nisimuache tena, hata nilipomleta nyumbani mwa mamangu, chumbani kwake aliyenizaa. Pastor Lucy...
3 Reactions
84 Replies
13K Views
Bado anaendelea kutoa video akiwa-tag wababe wa muziki wa bongo WCB ili iwe rahisi kuwafikia watu wengi. Kiukweli kufanya muziki bongo bila support ya WCB hauwezi kutoboa.
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Emsley "Baba T" Smith Picha: Ukurasa wake wa Facebook Miaka kadhaa iliyopita nilipata fursa ya kuonana na Baba T pale East Africa Radio. Tulishikana mikono. Alikuwa ni pande la mtu, na kiganja...
45 Reactions
69 Replies
8K Views
Msanii wa Injili na Hit Maker wa 'Utamu wa Yesu' Rose Muhando anasema anaomba apate mume mzungu mwenye pesa. Rose Muhando ameshea hilo kwenye Instagram yake akiipa promo wimbo wake mpya huku...
13 Reactions
112 Replies
13K Views
Wakuu mnamkumbuka huyo dada mwenye blauzi pink?
2 Reactions
142 Replies
105K Views
Kutoka kwenye insta story ya Rapa Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameandika; “Yani kujifanyaga mnawapa magari ooh label kubwa alau mkishindwana mna wapokonya magari yenyewe tena wasanii kwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…