Huyu jamaa alivuma sana na ngoma alizoshirikiana na ngoma na Marehemu Ngwair kama vile demu wangu na Mitungi.
Kuna muda wakawa na mgogoro ambapo ilisemekana Mchizi mox ndiye aliyeandika wimbo wa...
nimechelewa kuskiliza hii interview ya Kondeboy kwa ambao ni outdated news samahanini.
Hatuhitaji vijana wenye roho kama ya huyu jamaa, no wonder why our music is not doing well internationally...
Hawa jamaa walikuwa vizuri sana enzi za kundi la Nako2nako. Mfano Ibra nadhani alikuwa anakubalika kuliko hata G Nako.
Ila siki hizi siwasikii kabisa.
Hivi bado wanafanya mziki au waliachana na...
Najua wengi wenu wapenzi wa franchise ya The pirates of the carribean.
Na najua bila shaka mnaipenda kwasababu ya Captain Jack Sparrow ambayo ni character inayochezwa na Johnny Depp.
Ila kwanza...
Assalam wana jamvi! poleni na majukumu ya hapa na pale katika maisha!
Moja kwa moja niende kwenye hoja!
wakati mwingine ni kweli yamkini hainihusu, lakini hiki ndo kizazi chetu, ndo vijana wetu...
Imekuwa ni tabia ya Wasanii wengi kutumia Ngada wanapopata umaarufu hali inayopelekea vipaji vyao kuzimika kama mshumaa jangwani.
Hivi karibuni kumekuwa na tetesi za Msanii darasa kuwa katika...
Ana miaka 21 mwanadada mswaziland anaeishi SA ni DJ TV personality, host na presenter, creative director huu wimbo wake Tanzania umebamba sana South sasa.
DJs wa kwetu wana kujifunza sana kwake...
David Attenborough champion of the earth by UN! Ndio yule mtangazaji maarufu na pendwa duniani ambae inaaminika sauti yake inathamani ya USD dollar billions aliezaliwa huko uingereza mwaka 1926...
Kwani Uwoya na huyu dogo mvaa vikaptula wana shida gani?
Japo wameondoka wote tarehe moja, ndege moja hawakuwahi kuposti picha pamoja, japo wote wako sehemu moja.
Kila mtu anaposti kivyake yani...
Ni mwezi wa 4 huu siku hizi simuoni Jackline N Mengi akipost tena Instagram, nimemiss picha zake za Bata na motivational quotes zake..
Mwenye latest ubuyu kuhusu Jacky Mengi atugee
Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen aka Madam Rita amesema yeye ni miongoni mwa wanawake waliopata ujauzito wakiwa na umri mdogo lakini alikuwa jasiri wa kukabiliana na hali hiyo...
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Zainab Abdallah ameonesha utaalamu na uwezo mkubwa wa kushusha mistari huku akiwa amerelax kabisa.
Binti huyo mrembo, ameonekana katika video inayosambaa katika...
Picha mbalimbali kuhusu msiba wa Maunda Zorro ambapo watu mbalimbali wamejitokeza kwa ajili ya kumsindikiza Mwimbaji huyu kwenye siku yake hii ya kuzikwa Aprili 16, 2022.
Baba Mzazi wa Mwimbaji...
Hayawi Hayawi sasa yamekuwa, ilianza kama kamchezo kakuigiza kutokupeana support za kupostiana kati ya Rayvan na wasanii wenzake wawasafi lakini utetezi ukawa mwingi, Ikafuata mama yake Boss wa...
Nimesikitishwa sana na Kifo cha Maunda Zoro, vibao vyake ni vya enzi zangu nilivipenda sana. Nakumbuka mchumba wangu wa enzi hizo akiniimbia Nataka niwe wako.
Ila nimesikitika zaidi kwa kuwa...
Wadau wa burudani nadhani mnamkumbuka uyu mtu nimesikiaa wimbo wa kikao cha dharula wa prof jay nikakumbuka hiki kipaji kilichojizolea umarufu kwa kuiga sauti za watu mashuhuri mbali mbali hapa...
Mwanamuziki wa, Diamond Platnumz Akiwa Kwenye Interview na Kituo cha #BBCSwahili Jijini London Ametaja Sababu Ya Yeye Kutoshiriki Kwenye Tuzo Za Muziki Nchini.
"Namshukuru Waziri Wa Sanaa Michezo...
Mwanamziki wa Bongo fleva Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpozi hivi karibu ameachia song lake la Umeniweza baada yakukaa kwa muda mrefu bila kuachia anysong wimbo wake kiukweli ni mzuri kuanzia beat...