Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.

instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,091
4,715
Kwani Uwoya na huyu dogo mvaa vikaptula wana shida gani?

Japo wameondoka wote tarehe moja, ndege moja hawakuwahi kuposti picha pamoja, japo wote wako sehemu moja.

Kila mtu anaposti kivyake yani tangu waondoka June 22, 2021 hadi leo August 08, 2021 ndiyo wameposti picha ya pamoja.

Kwani huyu dogo na Uwoya ni mashosti au kuna kitu walikua wanaogopa, japo kila mtu anaposti kivyake lakini hadi vyumba walivyofikia vinafana.

Sema huyu dogo sijui? Isije ikawa "sponsa" kawabeba wote kivyao vyao.

1628675432113.png

1628675492312.png

1628675532952.png

Hana hata kiwanja Chanika mbwembwe tu anazidiwa mpk na aunty!yaani Uwoyaa balaaaa!ana kismati mnooo anadanga pazuri
Mdogo wa rafiki yangu Nigeria alikua anatoka kimapenzi na senator wa nchi yao.

Danga alikua kwenye ule mkoa wa mafuta.

Bibi yule alipelekwa Ufaransa shopping, Marekani kuona mji na kutoa ushamba. Dubai ilikua ni weekend trips tena na mashost. Handbags, viatu na perfume alinunua YSL, Gucci, na Channel.

Alishazoea kulala five star hotels. Mzee alikua ana credit account yake kila mwezi. Kwakua yuko busy na familia yake walionans kwa nadra sana.

Siku danga liliposema it’s over between us dada alipata mental break down.
 
Mdogo wa rafiki yangu Nigeria alikua anatoka kimapenzi na senator wa nchi yao. Danga alikua kwenye ule mkoa wa mafuta. Bibi yule alipelekwa Ufaransa shopping, Marekani kuona mji na kutoa ushamba. Dubai ilikua ni weekend trips tena na mashost...
Wanavurugwagwa balaa na uchizi juu.

Uwoya nae akishatemwaga na maboss zake anapoaga sana na show off zinaishaga anakua kimyaaa, sema ana kismat sana hakai mda mrefu anarudi kwenye reli km kawaida, ila anajisahau sana huyu Dada!wenzie wanamsikitikia sana.

Yaani kwa bata la Uwoya kibongobongo sio poa!hajiongezagi hajui kua ataachwa na atachunda anaamini kila Siku atawika tu!halafu wanamnangaga sana hao mashosti zake.

Sasa we shopping Dubai badala ya kuwekeza kama wenzao kina Vera na Huddah wanaendekeza starehe
 
Wanavurugwagwa balaa na uchizi juu
Uwoya nae akishatemwaga na maboss zake anapoaga sana na show off zinaishaga anakua kimyaaa...sema ana kismat sana hakai mda mrefu anarudi kwenye reli km kawaida...ila anajisahau sana huyu Dada!wenzie wanamsikitikia sana.Yaani kwa bata la Uwoya kibongobongo sio poa!hajiongezagi hajui kua ataachwa na atachunda anaamini kila Siku atawika tu!halafu wanamnangaga sana hao mashosti zake.
Sasa we shopping Dubai badala ya kuwekeza km wenzao kina Vera na Huddah wanaendekeza starehe
Hudda ana nyumba za kupangisha kadhaa nchini Kenya, hata asipoamka kitandani kwa miezi sita pesa bado inaingia. Hata Lulu anamshinda kwa maarifa.
 
Mdogo wa rafiki yangu Nigeria alikua anatoka kimapenzi na senator wa nchi yao. Danga alikua kwenye ule mkoa wa mafuta.
Bibi yule alipelekwa Ufaransa shopping, Marekani kuona mji na kutoa ushamba. Dubai ilikua ni weekend trips tena na mashost. Handbags, viatu na perfume alinunua YSL, Gucci, na Channel.

Alishazoea kulala five star hotels. Mzee alikua ana credit account yake kila mwezi. Kwakua yuko busy na familia yake walionans kwa nadra sana.

Siku danga liliposema it’s over between us dada alipata mental break down.
Ni ujinga kudanga na kutoka na mume wa mtu bila kuweka investment zako za kueleweka huku unahangaika na mapochi and show off tu, wooi mimi siwezi huo ujinga
 
Wanavurugwagwa balaa na uchizi juu
Uwoya nae akishatemwaga na maboss zake anapoaga sana na show off zinaishaga anakua kimyaaa...sema ana kismat sana hakai mda mrefu anarudi kwenye reli km kawaida...ila anajisahau sana huyu Dada!wenzie wanamsikitikia sana.Yaani kwa bata la Uwoya kibongobongo sio poa!hajiongezagi hajui kua ataachwa na atachunda anaamini kila Siku atawika tu!halafu wanamnangaga sana hao mashosti zake.
Sasa we shopping Dubai badala ya kuwekeza km wenzao kina Vera na Huddah wanaendekeza starehe
Vera Kwa sasa kapata kijana kamuweka mimba, naona kaamua kuachana na anasa za dunia zimemchosha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom