Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Anna na Lucy DeCinque ni mapacha "waliokithiri". Dada hao wenye umri wa miaka 35 kutoka Perth, Australia, wanajiona kuwa "mtu mmoja" na wanasisitiza "kufanana" kwa kila njia - ikiwa ni pamoja na...
6 Reactions
39 Replies
5K Views
Diva The Bawse sio mtu wa mchezo mchezo, amewaonesha mashabiki jambo ambalo limewashtua katika mtandao wa Instagram. Mtangazaji huyo wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, amepost picha...
8 Reactions
286 Replies
67K Views
Wakuu Kupitia mitandao yake ya kijamii rapa huyo mkongwe wa Bongo Fleva Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro alimaarufu kama Chid Benz ameandika kuwa. . Kuna namna Wasanii wanakua chini kifedha but...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Siku nyingi sijamsikia huyu dada, kwasasa yuko wapi?
5 Reactions
33 Replies
8K Views
Tangu juzi kulipotokea msiba wa marehemu seth pilipili amekuwa akipost qoutes mbalimbali kuhusu marehemu, si kitu kibaya ila baada ya hapo ameendelea kupost picha mbalimbali za matukio ya msiba...
17 Reactions
122 Replies
20K Views
Jamaa anajitahidi kufikiria wakati wa kutunga, ana Melody nzuri. Atawafaa sana
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Waigizaji maarufu wa Hollywood Marekani Johnny Depp na Amber Heard ambao walifunga ndoa na kutalakiana wako mahakamani kusikiza kesi ambayo Johnny Depp akitaka fidia ya 50 m $ kutoka kwa Heard...
8 Reactions
32 Replies
5K Views
Tukubali Dada huyu hata kama mnamponda lakin kuna namna moja au nyingine alikugusa kihisia, Hebu tupia picha yake iliyokugusaa Pia mwenye namba yake ani PM maana Ninaplan kuwa na project naye
5 Reactions
107 Replies
52K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT! Nauzungumzia huu wimbo wa Killy aliyomshirikisha Harmonize uitwao 'ni wewe'. Jamani, huu wimbo unachosababisha usitambe ni nini haswaa kama sio uchawi tu?!!! Melody...
7 Reactions
89 Replies
10K Views
Nimeikuta hii kitu mahali. Wakati maandalizi ya ndoo za maji yako mbioni huku jf let's us wish Maxence Melo happy birthday. Mods sina ugomvi na nyie.
21 Reactions
54 Replies
4K Views
Habar wakuu nimekua katika hali yakujiuliza na kujaribu kutafakar kwanin wasanii wa bongo flava au maigizo wakiniona sehem katika mazingira ya face to face hustuka na kusimamana kujaribu...
4 Reactions
80 Replies
5K Views
Hawa madogo naona wanatrend sana umaarufu wao unatokana ja nini mpaka wanapewa vipindi na kupewa dili mbalimbali
7 Reactions
43 Replies
5K Views
Wake wa Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso kutoka kushoto Bi. Zainabu Abdallah na Kauthari Tarimo wakifuatilia mjadala wa hotuba ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2022/2023
27 Reactions
144 Replies
21K Views
Bi dada kaolewa kimya kimya na habari ikawekwa kwa Mange na picha juu. Inasemekana kaolewa mke wa pili, na baba ndo muhusika wa wale watoto wawili wa mwisho wa bi dada. Nani baba wa first born...
2 Reactions
41 Replies
11K Views
Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani. Na nyie...
53 Reactions
647 Replies
101K Views
Albam iliosubiriwa kwa hamu ya Nguli wa Hip Hop Kendrick Lamar imetoka rasmi na kuzua gumzo kubwa miongoni mwa mashabiki wa Hip Hop dunia Kwa ufuatiliaji wangu mdogo nimeona watu wengi sana ni...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
The ruler of Dubai and head of global racing giant Godolphin, 72, was hit with the half-a billion-pound settlement in a 73-page ruling published on Tuesday. And as part of it, Princess Haya, 47...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Hiyo show ya legends wasaniii wa zamani ni a very good idea na list ni kubwa sana hadi inafurahisha ila ukweli ni kwamba hawa ndugu zetu wengi wao wamepoteza ramani vibaya mnooo wanalewa kupita...
7 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
tetesi Mara paaap ni kweli dongo janja amefunga ndoa na irene uwoya
6 Reactions
211 Replies
65K Views
Naongea kama mmoja wa mashabiki na wapenz wa mziki wa Maua Sama ninaoamini kabsa Maua ndo msanii mwny kipaji zaid kuliko wengine Afrika Mashariki(hii ni pamoja na nchi zilizojiunga juzi kati),na...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…