Diva aonyesha Mjengo wake mpya

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,422
Diva The Bawse sio mtu wa mchezo mchezo, amewaonesha mashabiki jambo ambalo limewashtua katika mtandao wa Instagram.
Screenshot from 2017-02-01 19-59-53.png

Mtangazaji huyo wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, amepost picha katika mtandao huo ya mjengo wake anaodai anaujenga huku akiweka wazi kuwa utakamilika ifikapo mwaka 2018.

“Tusichukuliane POA ila nene Hard work Pays. Aisee, don giv Up guys !. focus and Msidharau Online ads , Haya Matangazo ya Insta By 2018 yatamaliza Hii nyumba yangu. Tuseme Inshaallah'',
ameandika Diva katika picha ya nyumba
hiyo.

Endapo nyumba hiyo itakamilika itamfanya mtangazaji huyo kuwa miongoni mwa mastaa wenye mijengo mikali hapa Bongo.

Chanzo: Bongo 5
 
kuja kwa sponsor ads kumeharibu biashara ya matangazo insta... enz zile ukiwa na followers wengi hulali njaa
Kweli mzee,Kuna kipindi the good ur IG bio is,the more easier your life becomes .Kuna watu walipiga ela za kina "M Company na e.t.c." Mark aliliona hili asee,Hahaha.
 
Back
Top Bottom