Wasanii wakiniona wanataka kukimbia

samakiurembo

JF-Expert Member
Dec 8, 2021
445
684
Habar wakuu nimekua katika hali yakujiuliza na kujaribu kutafakar kwanin wasanii wa bongo flava au maigizo wakiniona sehem katika mazingira ya face to face hustuka na kusimamana kujaribu kubadilisha njia

Hali hii imenipa maswal sanaa lakin nimepata sababu huenda nikawa nafanana na sudy brown kijana anaewafuatilia maisha ya wasanii wakiwa mitaan maana wasanii niliowakuta mtaan na kutaka kukimbia walikua na mshtuko mkubwa kuonana na wao maeneo hayo au wakuu
 
Attachments

  • IMG_20220427_230901_797.jpg
    IMG_20220427_230901_797.jpg
    102.1 KB · Views: 78
  • image_search_1652248358352.jpg
    image_search_1652248358352.jpg
    4.6 KB · Views: 83
  • image_search_1652248352180.jpg
    image_search_1652248352180.jpg
    13.1 KB · Views: 71
Habar wakuu nimekua katika hali yakujiuliza na kujaribu kutafakar kwanin wasanii wa bongo flava au maigizo wakiniona sehem katika mazingira ya face to face hustuka na kusimamana kujaribu kubadilisha njia

Hali hii imenipa maswal sanaa lakin nimepata sababu huenda nikawa nafanana na sudy brown kijana anaewafuatilia maisha ya wasanii wakiwa mitaan maana wasanii niliowakuta mtaan na kutaka kukimbia walikua na mshtuko mkubwa kuonana na wao maeneo hayo au wakuu
View attachment 2219904
Na tunakusubiria siku uchangie ujinga kwenye jukwaa la siasa tukutie mbaloni! Picha yako tushaiweka kwenye saver zetu!
Eboo!!
 
Dogo naona uchoko Ushakuingia kichwani
 
Yaani unabandika picha yako huku kama facebook kwa sifa za kijinga?
Hahaaa acheni mawazo ya kipuuz na fikra za kukaririshwa kua jf ni mtandao wa watu siri na waovu waovu eti wafiche majina yao na picha zao member wangap wana majina yao na picha zao huku kama umeingia humu ukiwa na tabia zao mbaya mbaya za kifiraun hivyo hutak watu wakujue ni wewe mkuu mtu mwema anakua huru mtu muovu atajificha ficha member weng tu wakiongoza na pascal mayala wanatumia id halisi bila hofu waovu ndio wanajificha ficha
 
Na tunakusubiria siku uchangie ujinga kwenye jukwaa la siasa tukutie mbaloni! Picha yako tushaiweka kwenye saver zetu!
Eboo!!
Mbaroni ip kwan ni marufuku kuweka picha yako halis humu au ni kosa ukiwa unataka usijulikane utakua una sababu zako ambazo sio nzur kuna member weng wana picha na majina yao halis humu weng
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom