Yule mrembo matata ambaye kwa sasa yupo karibu sana na msanii matata wa kiume a.k.a Jux, amekiri kupitia kituo kimoja cha redio kwamba Jux ako na hela mingi kuliko Mondi sema hana kelele na wako...
Kama. Kawaida yake ni mmoja wa ma MC wakali sana wanaosimamia misingi ya kweli ya HipHop, hivi sasa yupo nchini Marekani kama kawaida yake na safari za Ughaibuni.
Hiyo video akiwa University of...
Kapo pendwa kunako Bongo Fleva, Billnass au Nenga na Nandy ‘The African Princess’ wanatarajia kufunga ndoa Juni 25, mwaka huu.
Hiyo ni kwa mujibu wa Baba wa Nandy, Charles Mfinanga alipokuwa...
Taji la u-legendary, 'Hall of Fame' wa Bongo Flavour.
Kwanini?
1. Tumekua nae katika tasnia hii.
2. Hajawahi kukata tamaa kupigania tasnia ya Bongo Flavor.
3. Ameyahimili mabadiliko ya...
Wimbo wenyewe unaitwa Sikiliza na marehemu Ngwair ndiye aliyekuwa Mastermind. Aliwashirikisha wasanii Lady Jay Dee na Mwana FA.
Japokuwa Ngwair alishatangulia mbele za haki ila kwenye huo wimbo...
Nakupa pole kwa yaliyomkuta mama yako leo kuwekwa hadharani kwa ile video alopost Mange Kimambi kama mtoto utakua umeumia sana kama mm tuu nimeumia hivi sembuse wewe?
Jamani mama zetu nini...
Ndiye king of freestyles zinazomake sense na hajuna anaepinga, unashauriwa kuwa na dictionary pembeni maana nahisi anajua maneno yote, Ole wako!!Ole wako ujitie wenda wazimu uanzishe bifu na hiki...
Bruce lee Alikuwa mwana kareti wa kichina na Muigizaji mashuhuri wa Filamu.
Aliweza kufanya mambo yasiyo ya kawaida ya kustaajabisha .
Alikuwa na Uzani wa pondi 350 kipimo cha uzani wa mapigo...
Ex wa Grand P mwanadada Eudoxie hivi karibuni amekuja na muonekano mpya wa mavazi
Mwandada huyu amekuwa kwenye mahusiano na Grand P kwa muda mrefu jambo lililoibua hisia nzito kwa mashabiki wengi...
Icon wa bongo fleva bwana Diamond Platnumz wengi wetu wanahisi kama ni mjenzi huru kutokana na maisha yake matanuzi yake mafanikio yake na endorsement zake.
Lakini cha kushangaza ukiachana na...
JE WAJUA SABABU YA HARMONIZE KUJIITA "ROBERT"?
Anaandika, Robert Heriel.
Kwanza nimpongeze Msanii Harmonize Kwa kujifaraguza kubadilisha jina Kwa sababu ya Mapenzi aliyonayo Kwa Kajala, na...
Wadau habari...
Kuna waimbaji na waigizaji ambao ilifika kipindi wakaamua kuachana na kazi zao hizo na kuamua eidha kuendelea na kazi hiyo kwa njia ya kuridhiwa na Mola (mfano qaswida, gospel na...
Binafsi kwa sasa sijaona msanii mwenye kipaji cha aina ya Aslay kwenye bongofleva kwa sasa. Huyu kijana ana uwezo mkubwa mpaka sioni wa kumfananisha nae kwa sasa, kumekuwa na mjadala Diamond...
The last pre-trial hearing before R. Kelly's federal sex-trafficking trial begins next week featured a laundry list of what will and won't be heard by the jury, including his secret marriage to...
Habari za jioni wanajamvi.
Taarifa nilizozipata punde zinasema mfalme huyo wa taarabu anaacha rasmi mziki huo na kumrudia mungu.
Mungu amjaalie wepesi afanikiwe katika dhamira yake
UPDATES...
Wakuu Huu ndio Muonekano wa Modonna and her adopted son David Banda.
.
Kama mtakumbuka Kijana Huyu David was adopted when he was 13 months from Malawi [emoji1156]
.
Daaaah Kijana David ameshapotea...