Nimeanza kufuatilia Muziki huu wa Hip Hop hapa Bongo kwa kipindi kirefu sasa nimeshihudia list kubwa sana ya wasanii wanaofanya Muziki Aina ya Hip Hop wakiwa wanaonekana kwenye muonekano wa kuvaa...
1. International best author and motivational speaker kutoka Tanzania akifurahia ndoa na mkewe halali.
2. Ikumbukwe pia Mheshimiwa Dr Nanauka aliwahi kuonyesha Nia Kwa Wadada kadhaa (akiwemo...
Washkaji Wenye Vipaji (2002, Cassette)
✍🏾washkaji Wenye Vipaji ni jina la kutaja albamu ya muziki wa kizazi kipya yenye nyimbo mchanganyiko kutoka kwa wasanii mbalimbali wa Tanzania. Wasanii hao...
Mwanamuziki mkongwe nchini Mzee Zahir Ally Zoro ambaye pia ni baba mzazi wa Banana Zoro, amepost picha hii kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika maneno haya "Chilling at Kisota. Marafiki...
CREW YA KWANZA UNIT .
waanzilishi wa "Kwanza Unit" ilikuwa ni Muunganiko wa makundi matatu makuu ya hip-hop kwa kipindi hiko.
Makundi hayo ni kama ifuatavyo..
1. Villain Gangsters
2. Raiders...
NAFSI YA MTU.
Watu pori a.k.a washamba a.k.a washamba a.k.a washamba /nyani wapya msitu wa zamani beat mjerumani mambo yote kwa Bonnie/
Verse ..1 ( mc koba)
Sikiliza haya ninayo kueleza leo na...
KAZI YAKE MOLA - MADEE
Madee Seneda amefunguka na kudai siri ya wimbo wa kazi yake mola kufanya vizuri mpaka sasa ni kutokana na kutuliza kichwa wakati anaandika mashairi yake tofauti na vijana...
Nilianza kuangalia movie yake kitambo akiwa kijana kabisa ikiitwa mississippi masala, zikaja Training Day, Dejavu, Man on fire, Inside job, American gangster, Great debetors, Malcom X, Manchurian...
Hii ni kwa wale wapenzi wa muziki mzuri, hawa wote wanafanya Vizuri.
Wizkid nyimbo zake(na alizoshirikishwa kama, sound it, ojuelegba, NOWO)
Davido pia unaskia kwenye FIA, FALL, IF, na nyingine...
Mwamba anasema yeye alikuwa mshindi wa pili na alichoambulia ni kupewa ticket za go and return kwenda capetown, bed and breakfast.
Alipowaambia kama anaweza kubadili wampe pesa, walikataa...
Eric Dane, mwigizaji mwenye sura ya kuvutia na haiba aliyewasha moto katika tamthilia ya “Grey’s Anatomy” wakati tamthilia hiyo ilipokuwa kwenye kilele cha umaarufu, amefariki dunia, kwa mujibu wa...
Hawa ni wasanii ambao wametoa ngoma kali na kuweza kuhit ukanda wa ziwa wote. Ni wasanii ambao wanajaza sana kwenye show zao.
1. Malingita
2. Bhudagala mwanamalonja
3. Bahati wa bugalama
5...
Soma pia: Nicki Minaj akiwa UN: Nigeria Wakristo wanashambuliwa, wanafukuzwa majumbani mwao na kuuawa
“I love Nicki Minaj,” President Trump told guests at the White House Black History Month...
Copy and Pest from lemutuz
PART 1
Safari yangu ya USA ulikua ni uamuzi wangu mgumu wa kuacha Ubaharia nikiwa Melini "MV. Luxemburg"ICMB Belgian Shipping Line tukiwa South China Sea tunatokea...
Saida Karoli Amezaliwa mkoani Kagera tarehe 4 Aprili 1976 ni mwanamuziki wa nyimbo za asili ya Kihaya Saida alipata elimu ya msingi mwisho darasa la tano tu, ambapo ilibidi aache shule kutokana...
Kadri unavyokua na kusonga mbele maishani, unawapoteza baadhi ya marafiki, kwa sababu hiyo inaitwa kuziba pengo.
Hili pengo ndilo lilikuwepo tulipoanza safari pamoja. Kadri unavyokua, utaona wewe...
HISTORIA FUPI YA DJ SWEET FRANCIS BUNDALAIMG-20260217-WA0000.jpg
Sweet Francis jina kamaili ni Francis James Bundala,mwaka 1964 alianzisha bendi iliyoitwa The Screemers na Dj Sweet Francis akiwa...