Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Malipo ni hapa hapa. Ulimbukeni wa kupata mwanamke mzuri, ulimfanya Nikki wa Pilli kusema, "Mwanadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni mwanamke, na sio mwanaume kama Biblia inavyosema" - hio ilikuwa...
25 Reactions
210 Replies
17K Views
Jamaa anavuta ganja hospitali bila tabu kabisa Soma pia Rapa wa Marekani, Offset apigwa risasi Florida
6 Reactions
14 Replies
523 Views
Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mke wa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa...
61 Reactions
1K Replies
119K Views
Mchekeshaji maarufu kutoka Senegal na ambaye anaishi Italy ameepuka mtego wa wazungu Mwaka 2024 mwezi wa sita alifunga Harusi ya kiisilamu na mwadada , Wendy Thembelihle. Mwaka huu mke wake...
19 Reactions
32 Replies
914 Views
Hivi huyu jamaa ana dawa gani? Sidhani kama kuna msanii wa Kikorea anapendwa kama huyu jamaa Muigizaji Lee Min-ho ameshika namba 1 tena Kwa mujibu wa matokeo ya ‘Utafiti wa Hallyu (Wimbi la...
2 Reactions
12 Replies
510 Views
Rapa wa Marekani Offset ameripotiwa kupigwa risasi karibu na casino maarufu ya Seminole Hard Rock Hotel & Casino huko Hollywood, Florida. Mtu wa karibu na rapa huyo amethibitisha kuwa Offset kwa...
7 Reactions
16 Replies
536 Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Huyu dada Marilyn Monroe alikuwa na nguvu isiyo ya kawaida. John F. Kennedy akiwa Rais wa Marekani huku mdogo wake Robert F. Kennedy akiwa mwanasheria mkuu wa serikali walijikuta wote wakiangukia...
5 Reactions
90 Replies
8K Views
Rapa wa kike nchini mwenye muonekano wa kiume Chemical akiongea na Times Fm amekiri kuwa ana mimba ya miezi saba ya mwanaume ambaye sio wa Dar ndio maana amekuwa kimya kimuziki na pia hapost picha...
11 Reactions
119 Replies
23K Views
Wakuu, Mwimbaji mashuhuri wa Kongo, Koffi Olomide, ameamua rasmi maisha ya ndoa baada ya kuoa mpenzi wake wa muda mrefu, pia mwimbaji, Cindy Le Coeur. Wapendanao hao, ambao walikuwa wakipendana...
7 Reactions
72 Replies
2K Views
Kwa Kasi ya nyimbo nzuri zinazotolewa kwa sasa na wasanii wa Bongo Flavour kama vile Ali Kiba, Marioo, Mboso Khan, Harmonize na hivi karibuni Kuna lijisongi lingine kubwa kuliko litatolewa na...
7 Reactions
53 Replies
1K Views
Kwa wale wasiomjua SirJeff Dennis, basi huyu ndiye mmoja wa waasisi wakuu waliowahamasisha Watanzania wengi kufuatilia biashara ya forex na mifumo ya online forex. Hii si kusema hawakuwepo wengine...
15 Reactions
54 Replies
2K Views
“Baada ya Kifo cha Nilsa: Wazazi Watofautiana Kwa Pesa za Michango!” 🤔💔 Inadaiwa kuwa kwa sasa kuna sintofahamu kubwa kati ya Baba na Mama wa marehemu Nilsa, kufuatia tuhuma nzito za matumizi...
2 Reactions
13 Replies
465 Views
S.O.G - "ALFAJIRI" " SNARE, BUFF G & AY " Intro: "Ooh Mapema Mno.!! Tena Sana Sasa Tazama.." Verse.1 " Snare" Yo!! Bado Alfajiri Sasa Data na Zangu Tafsiri/ Adam Ndani Ya Game Me...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Salaam ndugu zangu, Mnamkumbuka msanii mkali wa RnB miaka ya 2000 ya mwanzoni Joslin. Msanii huyu alitamba na vibao mbalimbali ikiwamo Niite basi, Wanazimika na yangu Perfume nk. Alikuwa miongoni...
21 Reactions
252 Replies
25K Views
Huyu jamaa mistari yake hapana Utasikia 1) Wanataka nife Ili Aishi manula 2)Vyombo vya habari vinaoshwa kwenye besen 3) Hata wachawi wanajua mchawi pesa 4)Dirisha la usajili wameweka...
16 Reactions
37 Replies
1K Views
Mwenye kujua namna mirathi ya celebrity Marehemu William Malecela a.k.a Le Mutuz ilivyogawanywa atujuze. Nyumba (2), apartments (3), akaunti benk, online TV na Magari Soma Pia: Le Mutuz TV...
8 Reactions
76 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…