Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mwanamuziki Jose Chameleon amewaomba radhi mashabiki wake baada ya kumbusu kaka yake Weasel jukwaani, wakati wa tamasha la Gwanga Mujje, kitendo ambacho wengi wamekiita kuwa ni cha kuudhi Mnamo...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Kufuatia kitendo cha Diamond kusoma neno kwenye moja ya mstari katika Biblia siku ya jana Mlimani City kwenye Mtoko wa Pasaka. Sheikh Shariff Majini amemtaka Diamond aamue moja, kubaki kwenye...
9 Reactions
93 Replies
6K Views
Inawezekana ni mwandishi mzuri, ana nyimbo zenye melody Kali, ila tatizo sauti yake tumeichoka sana , sana yani kama tulivozichoka sauti za kina mbdogg na Juma nature. Kiukweli kinachombeba ni...
21 Reactions
91 Replies
5K Views
Habarini wakuu.. Kama mada inavyojieleza hapo juu kiukweli mimi namkubali sana ommy D jinsi anavyoeleza picha zake inshort zinaeleweka sanaa hautumii nguvu kuelewa muvi inahusi nini.. Kwa apa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Watu bana sijui kwa nini wanakuwa na secret ajenda kila pale Rose anaposhine. Kazi kumwekea chuki tuu kila kukicha hapo zamani kidogo walimletea chuki baada ya kushinda tuzo ya kili, sasa wanaleta...
12 Reactions
28 Replies
3K Views
n Master J - Mj Records. 1. Nakupenda tu - konki 2. Sintobadilika - Mike T 3. T shirt na Jeans - university corner 4. Tanga Kunani - wagosi wa kaya 5. Sifai - Q Jay 6. Ingewezekana - D knob 7...
5 Reactions
65 Replies
22K Views
Hili ni kabisa ila nimependa sana kaswekwa ndani safi sana wamesha ona Tanzania unaweza ropoka chochote na hakuna wakukugusa.Bado yule wa MWANZA safari hii ndiyo ataozea ndichi.
0 Reactions
5 Replies
798 Views
Diamond Platnumz ndio habari kubwa mpaka sasa Africa. Ndio msanii pekee yeye na Davido wanaozungumzwa na kufatiliwa zaidi hapa Africa. Je Diamond Platnumz ni mkubwa kuliko Bongofleva? Inawezekana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimekuwa Nikufuatilia Matamasha Mbali Mbali Ya Muziki Tanzania, Muziki wa Injili hata Ule wa Kizazi Kipya. Ni kiri wazi Kuwa Wapenzi wa haya Matamasha Wamekuwa Hawatendewi Haki kabisa Kabisa...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Mme wake Rosa Ree ni kama vile hayupo kwenye kipindi kigumu hiki anachopitia Rosa Ree, Ndoa ilifungwa mwaka juzi 2021 september, ni takribani mwaka na nusu hadi sasa.
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Kizuri chajiuza, kibaya chajitangaza, bwana mdogo amepiga kazi kubwa zinazojiuza zenyewe bila mwenyewe kutumia nguvu kuuubwa. Ukiachana na "Single Again" inayotamba bara zima la Afrika kwa sasa...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwanamuziki maarufu Nchini Rwanda, Yvan Buravan (27) amefariki Dunia baada ya kusumbuliwa na Saratani ya Kongosho. Msiba umetokea usiku wa kuamkia leo Agosti 17, 2022 akiwa India alipokuwa...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Mpiga gitaa maarufu wa Kongo Denis Lokassa Kasiya, almaarufu Lokassa ya Mbongo, alifariki Jumanne usiku nchini Marekani baada ya kuugua kwa muda mrefu. Lokassa, ambaye hivi majuzi alifikisha umri...
5 Reactions
45 Replies
6K Views
HATA LUAMBO ALIIMBA Naam, Shaaban Dede ni Mwanamuziki wa Dansi aloacha alama kupitia kazi nyingi kwenye ulimwengu wa Dansi, Mungu ampe kauli thabiti huko aliko [emoji24][emoji24]. Mimi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Haya haya mama mwenye watozo watano leo kaolewa huko Kenya Ujumbe huu uwafikie kataa ndoa na wanaosema kila kukicha single mamaa mpooo
18 Reactions
86 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Habari za wakati huu wakuu. Naomba kufahamu ni nani mkali wa machorus na colabo bongo kati ya hawa wasani wawili juma nature raia wa temeke na gnako chali ya chuga. juma Nature Juma Kassim...
1 Reactions
45 Replies
52K Views
Rapa Drake ameripotiwa kushinda Dollar za Marekani 🇺🇲 $1.84 milioni (Tsh 4,302,966,531) baada kubeti dau la Dollar $400,000 (Tsh 935,427,506) Ili Israel Adesanya wa Nigeria Ashinde kwa mtoano...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Tabia za haya madogo kuiga fan za mabrother au masistet wao sio nzuri hata kidogo. Kwani ni lazima kila mtu awe star, wengine wabaki mashabiki tu. Sasa mbaya zaidi unakuta lidogo linamwuigiliza...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Baada ya mrembo Shakila kutoka Kenya kusema kwamba kuanzia sasa na kuendelea eti atakuwa anatoza dollar 50 ambazo ni zaidi ya laki moja ya kitanzania ili akujibu tu meseji yako uliyo M DM. Sasa...
6 Reactions
118 Replies
16K Views
Back
Top Bottom