Ni nani huyu Irene Robert?

Mla Bata

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
6,764
13,815
Wasalaam!

Jumapili tulivu kabisa, nime "tune" Wasafi TV , kumcheki ndugu yangu masanja kwenye Wasafi Sunday worship, nakutana na "Pisi" moja kaliii sanaaa! tena yenye mzigo heavy heavy, naona ndugu yangu masanja concentration imepotea, macho yote yanamsaminisha huyu binti mkali.

Nifupishe tu uzi ,kilichonishangaza zaidi ni baada ya masanja kuanza kumuuliza maswali personal huyu binti....

"Husumbuliwi"?? , Una mchumba/umeolewa?

Unfortunately hii pisi iliyobarikiwa sauti tamu sanaaa inadai haina mahusiano, na hana mpango wa kuwa kwenye mahusiano kabisa 😱,

Bado nimebaki najiuliza hivi huko kanisani kwelii kuna wanaume wenye macho yanayoona???

Mwenye taarifa zaidi za huyu binti (Irene Robert) ebu tusaidiane wakuu, nikipata hata picha zake itapendeza sanaa. Pia naomba kujua lilipo kanisa la mume wake christina shusho naambiwa huwa anahudumu hapo.

Hii pisi imenisisimua sana moyo wangu jumapili ya Leo.




Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Sasa hukuweza kupata hata picha yake
IMG_20201004_103530.jpg
 
Hiyo picha niliyoiona na hiyo shape anafanana kimtindo na demu mmoja street anaitwa Mwanahamisi isipokua Mwanahamisi anafanya kazi supermarket posta na hana umaarufu.

Mwanahamisi kamzidi huyu tako huyu kamzidi Mwanahamisi urefu.
 
Hiyo picha niliyoiona na hiyo shape anafanana kimtindo na demu mmoja street anaitwa Mwanahamisi isipokua Mwanahamisi anafanya kazi supermarket posta na hana umaarufu.

Mwanahamisi kamzidi huyu tako huyu kamzidi Mwanahamisi urefu.
posta supermarket nyingi mkuu, nataka niende nikamsalime Mwanahamis naomba unielekeze:)
 
Back
Top Bottom