Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Dunia yote inamtukuza na kumuhusudu Bob Marley (Culture?) kama mfalme wa muziki rege, sijui wanatumia vigezo gani hasa. Wanamshusha na kumchukulia poa Lucky Dube sijui kwakua Bob aliuawa ndio...
48 Reactions
374 Replies
94K Views
Hivi Mwanaume kabisa Timamu kwa kuwajua Wanawake walivyo na Changamoto zao za Kibaiolojia unaweza kweli kabisa Ukahoji ni kwanini wakienda Vyooni huwa wanakaa muda mrefu? Kuna taarifa fulani...
14 Reactions
40 Replies
3K Views
m happy you made it @geraldhando @geraldhando .. Congrats..All the best in your marriage life... Ukistaajabu ya Farao utayaona ya Gerlad Hando..bata la mjini ale na mwingine..ndoa akafunge na...
7 Reactions
212 Replies
51K Views
Ila sishangai hata Mimi GENTAMYCINE Watu wengi wananiambia nafanana ile mbaya na Bondia Mkongwe Mike Tyson. Pia soma: Nape Nnauye: Nawapa pole na naomba radhi kwa kauli yangu ya ushindi nje ya...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Pastor Anafunguka... Sijawahi kuona kampuni ya vilevi kama vile pombe ambayo inamtumia mteja wake mmoja aliyelewa huku anapigana na watu baada ya kulewa kwenye tangazo lake! Au amelala mtaroni...
8 Reactions
58 Replies
2K Views
Ni leo 23/10/2020
21 Reactions
283 Replies
40K Views
Mdogo wa Balozi wetu huko ushuani anayewakilisha Taifa UN huko akamatwa Nchini Kenya, hivi tunavyoongea yupo lockup ana kesi sita nchini Kenya. Baada ya kukamatwa leo huku nyumbani dada yake...
6 Reactions
29 Replies
5K Views
Video inajieleza PIA SOMA: - Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)
13 Reactions
185 Replies
9K Views
Nabbing wetu akigonga vyombo na washikaji wake Amarula Most Jack Daniel
3 Reactions
117 Replies
11K Views
Ni rapper mkali kwenye game. Ana jina kubwa. Anatoa kazi nzuri sana na ana mashabiki wengi sana hasa vijana wa miaka ya 2000s. But details zake hazijulikani. Haijulikani majina yake halisi...
6 Reactions
51 Replies
12K Views
Baada ya Wema Sepetu maarufu kama TZ Sweetheart kumtambulisha mwanaume wake anayesemekana kwamba ni rubani, Idris Sultan ambaye aliwahi kutoka na mwanamke huyo amemtahadharisha mpenzi huyo wa Wema...
8 Reactions
83 Replies
13K Views
Nipo nyumbani hapa naangalia mtandao x naambiwa kuna mtu kapigwa kauziwa barafu jangwani ?
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Inasikitisha sana kumuona mtoto wa kiume kavaa nguo ya kike. Hii imekaaje kwa wasanii wetu wa kiume?
8 Reactions
85 Replies
7K Views
Nimeona picha zinatrend mtandaoni kwenye harusi yake watu maarufu wakiudhuria akiwemo mstaafu Kikwete, mawaziri, watu maarufu, wasanii n.k
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Hakuna upinzani Fredrick Bundala(SKYWALKER) uwezo wako wakufanya kipindi cha mahojiano kivutie ni next level bila ya kujali unamhoji Star au Normal person. Kuna mtangazaji kupitia channel yake...
2 Reactions
8 Replies
775 Views
1. Mark Zukerberg ndiye mmiliki wa mitandao ya Facebook, Whatsapp na Instagram, 2. Ana umri wa miaka 31, alivumbua mtandao wa facebook akiwa na miaka 20 tu. Baadae akaamua kuununua mtandao wa...
37 Reactions
83 Replies
26K Views
Mtoto wa Monalisa aliwahi kuhojiwa mwaka jana alipomaliza form 6 na akasema chuo hawezi kusoma bongo na hakuna chuo cha hadhi yake na hata havijui vyuo vya bongo Ila anasikiasikia tu sijui Kuna...
89 Reactions
240 Replies
23K Views
unaambiwa alijitahidi kuivua hiyo miwani taratibu ili kuepusha watu wasife 😂
13 Reactions
92 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…