Idris Sultan: Wema sio mzuri kwenye mambo ya fedha

Namna ulivyoiandika na ulivyomtambulisha Wema, yaonyesha una chuki au nongwa na mwanamke mwenzio... Hahahaha wanawake bhana,.. Unateseka

Sent using Jamii Forums mobile app

Nafanya declaration of interest Kabisa niliwahi kumsapoti wema sana hadi kutoa hela yangu mfukoni....nilitukanwaaa sana hapa JF kwa ajili yake lakini nilichokuja kugundua Kumbe sikupawa kutumia nguvu zote zile kumsapoti mtu asiyjitambua na jeuri kupindukia. Kwakweli kwa Sasa huwa sisapoti chochote kuhusu wema Wala hujakosea.
 
Kwanini unamuita mwenzio nyumbu? Wema is beautiful kama hana akili basi ni bahati mbaya tu si kila mtu amezaliwa awe na akili. Mi sijawahi na siwezi kuwa shabiki wake vivyo hivyo sina issues nae. Siwezi mchukia mtu simjui and call her names. We ni mwanamke sio? Ndio maana wanasema wanawake hatupendani.
 
Publicity is publicity
Mwenzio hapa anafurahi namrudishia Kiki iliyopotea. Usichukulie serious sana
 
Back
Top Bottom