Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Durov CEO wa Mtandao wa Telegram Alikamatwa na kunaripotiwa kuhusiana na kutodhibitiwa kwa kutosha kwenye Telegram. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alisema Jumatatu kwamba kukamatwa kwa “haukuwa...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
TMK Wanaume Family ni kundi la muziki wa kizazi kipya kutoka Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam Tanzania. Kundi lilianzishwa rasmi mnamo Septemba 16 2002 mjini Mwanza, wakati wa uzinduzi wa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mcheza porno za OnlyFans aitwaye Andressa Urach (36) anamtumia mwanae wa kiume aitwaye Arthur Urach (18) kurekodi video na picha za ngono kwa ajili ya kupost kwenye akaunti yake ya OnlyFans...
17 Reactions
135 Replies
11K Views
Akijibu swali la kizushi kutoka kwa Oscar Oscar Wasafi TV, kwamba👇👇 "Inasemekana ulipokuwa mtoto ulikuwa unaonekana kama una mapenzi na Simba. Hata mlipokuwa mkicheza chandimu Simba na Yanga...
16 Reactions
65 Replies
3K Views
Habari za sasa wadau wa celebrities forum. ni matumaini yangu mu wazima kabisa! Jalada lililoko mbele yenu sasa linazungumzia mustakabali mzima wa tasnia ya filamu Tanzania ambayo imepewa jina...
9 Reactions
177 Replies
26K Views
Baada ya Michael Elizabeth maarufu kama Lulu kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda kupitia akaunti yake rasmi ya Instagram ameandika maneno...
16 Reactions
393 Replies
55K Views
Kaka maarufu kwa jina la Kaoge ambaye alileta tafrani baada ya kuhojiwa kwenye kipindi cha Take One cha Zamaradi Mketema, na kukiri anajihusisha na vitendo vya jinsia moja amefariki dunia...
12 Reactions
343 Replies
92K Views
Msanii wa muziki zuchu kupitia kipindi cha (lavidavi) cha wasafi fm ambapo alipokua akihojiwa Anjela, ameahidi kesho 22/8/2024 atamnunulia anjela gari aina ya Crown kwani ni kama dada yake na...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu...
22 Reactions
79 Replies
11K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa za msiba mwimbaji wa kundi la Zabron Singers, Marco Joseph afariki dunia Mwimbaji wa kundi la Zabron Singer, Marco Joseph amefariki dunia kwa ugonjwa wa Moyo jana...
9 Reactions
74 Replies
15K Views
Wasanii wangu 10 bora wa Hip Hop wa muda wote; 1. Albert Mangwair 2. Profesa J 3. Jay Mo 4. Juma Nature 5. Mwana FA 6. Afande Sele 7. Fid Q 8. Joh Makini 9. Chid Benz 10. Solo Thang Nimezingatia...
2 Reactions
60 Replies
14K Views
Mwijaku ana CV nzito lakini ni Chawa wa mtu wa darasa la saba. Nikionacho mimi na marumbano yanayoendelea yeye na timu ya Diamond hadi kupelekea kutoa vyeti vyake hadharani anakidhalilisha chuo...
15 Reactions
34 Replies
21K Views
Tupo kwenye sensa kujua wimbo gani wa King unaokubalika zaidi. Tafadhali husika na Kichwa cha habari hapo juu hatutaki maneno maneno wala hatutaki malumbano na team ujanja ujanja kwenye Uzi huu...
4 Reactions
124 Replies
14K Views
Bila kufichai Tasnia ya Muziki hubeba ujumbe na nafasi kubwa Sana katiba jamii husika, Kinyume chake ikienda tofauti basi hiyo jamii huathirika kwa namna moja au nyingine, mfano bongo fleva...
13 Reactions
73 Replies
2K Views
Kundi maarufu kama man dojo na Domo kaya, wameeleza walivyokuja dsm mara ya kwanza na kuibiwa kila kitu Wameenda mbali na kutoa shukurani za pekee Kwa Producer Majani maarufu kama Paul, kwamba...
6 Reactions
59 Replies
21K Views
Baada ya msiba mzito ulioikumba bendi ya FM academia baada ya kuondokewa na mpendwa wao marehemu Malou Stonch, mengi yameibuka. Akizungumza kwenye chombo kimoja cha habari, kiongozi wa kundi hilo...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
GTs, Kijana anayetukana wasomi alikuwa Teja la unga, je kipato chake ni halali au ndiyo kawa pusher halafu anadanganya watu ana akili biashara imekubali? Nadhani mamlaka ya kuthibiti madawa...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wababodi, Wengi walikua wanaulizia habari za Boni Mwaitege sana maana hajasikika mda mrefu kwenye medani za gospel.Msanii Mwaitege amefunguka kwamba yupo busy na biashara zake za kuuza...
2 Reactions
50 Replies
29K Views
Msanii wa kizazi kipya Omary Ally maarufu kama Marioo, alisema hana mahusiano na wala hajawahi kuwa na mahusiano na mwanamke yoyote yule katika maisha yake. Marioo alibainisha hayo Agosti 28...
4 Reactions
53 Replies
7K Views
Mwigizaji na mwanamuziki wa Marekani, Jennifer Lopez na mumewe Ben Afflect wanatarajiwa kupeana talaka baada ya ndoa yao kudumu kwa miaka miwili baada ya Jeniifer kuwasilisha shauri la kudai...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom