Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mange Kimambi kasema hivi kuhusu Sintah. ''Wadada wa mujini bwana kwa mashindano ya kijinga. Mtu unakwenda kuchukua mkopo Access bank ufungue kaduka wakati hujui hata utaulipaje eti kisa Mange...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Msanii alikua maarufu kwa maigizo mwanzoni mwa miaka ya 2000 anaefahamika kwa jina la MR.BOMBA afariki dunia.. Igizo alowahi kuigiza na kutamba vilivyo ni MAMBO HAYO.. R.I.P
0 Reactions
19 Replies
7K Views
habari wana JF. Kuna taarifa isiyo rasmi ya star wa bongo movie,ms Wema Seputu,kuwekwa lockup ktk kituo cha police kawe kwa kosa la kumpiga manager wa mediteranian hotel iliyoko kawe beach wiki...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Ngwair - Sikiliza [Ngwair & JD] kama ni demu sikiliza, niskize mi kama una swali uliza, niulize mi hata kama sijamaliza, ah sikiliza kama ni demu sikiliza, niskize mi kama una swali uliza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana Jf Mara Ya Kwanza nilipoiona nyimbo ya Q-rocka ft shaa na gwea -my baby nilipata mashaka na ile biti ya ile nyimbo sister angu akasema ile biti mbona kama ya dully aliyoimbia kwenye nyimbo ya...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
THE big boss wa The Endless Fame Production, Wema Isaac Sepetu ametundika mtandaoni picha zinazoonesha mapaja yake jinsi yalivyoharibika na kuweka michirizi ambapo alipoulizwa na shushushu wetu...
0 Reactions
57 Replies
9K Views
Mjasirimali mchapakazi na Mbunge Kijana nchini Tanzania, Mohammed Dewji (MO) ametajwa katika jarida la Kimataifa la mabilionea duniani katika Nyanja za biashara (Forbes Africa agazine) kama...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
mwanamuziki m2 the p alikuwa akihojiwa katika kipindi kimoja cha steshen flani ya radio, lakin jamaa amekuwa mgumu kueleza ni kitu gani kilitokea usiku aliokuwa pamoja na ngwea, anadai anaona...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Jamani BBA mnaifwatilia.....Feza mapenzi sasa yaamia kwa Oneal baada ya kuona Elikem ni playboy....Nando naye kama kampotezea Dillish...
0 Reactions
180 Replies
24K Views
Hate him or love him but Tanzanian hit-maker Diamond Platnumz (Naseeb Abdul) has won the hearts of many East Africans in a way no other artist from this region has. The closest rival is Uganda’s...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Huyu shori kumbe mashuhuri sana......opportunity hizi wakina Nyani ngabu wamezitafuta weee hawazipati... kapiga bao kichizi......hater bwaha ha ha ha Wesley Snipes kanyimwa namba ya simu...
0 Reactions
17 Replies
13K Views
Kati ya siku ambazo najiskia raha ni leo ni kwa ajili ya mzee ninayempenda na kumkubali sana kutimiza miaka 95 amepitia mengi hadi kufikia hapo alipo yote ya yote nasema HAPPY BIRTHDAY MADIBA!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
HAYA NDO MADHARA YA BANGI NA MADAWA YA KULEVYA......NI BORA TUJIFUNZE KUTOKANA NA MAKOSA.... RAY C ANATIA HURUMA.LAWAMA ZOTE ZIMEELEKEZWA KWA LORD EYEZ AMAYE NDIYE ALIYEMFUNZA KUTUMIA...
0 Reactions
74 Replies
246K Views
Kweli kila familia ina black-sheep... While Madonna ni bilionea kumbe kaka yake ni homeless kwa miaka mitatu now? Madonna's brother begs for help after being homeless for three years
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Matumizi ya ngada(dawa za kulevya)yanaendelea kuangamiza nguvu kazi ya tz,kuna maeneo mengi tunashuhudia mateja wala ngada,maeneo hayo yakiwa bayana labda wahusika watafatilia root cause,mfano ni...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu hebu nisaidien detail na mahali alipo na kama bado anaendelea kuigiza, muigizaji wa bongo movie wa siku nyingi aitwaye Nuru ambaye aliigiza movie kama Dangerouse desire na Sikitiko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WEMA AKIMBILIA ZANZIBAR KUJIFICHA BAADA YA KUMJERUHI MENEJA WA HOTELI, POLISI WAVAMIA NYUMBANI KWAKE NA KUFANYA UPEKUZI MKALI...!! POLISI wapatao sita Jumamosi iliyopita walivamia nyumbani...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
hivi huyu mfanyakaz why anatoa siri za mteja. na wewe bi shost aka mama boi punguza mashauz ndio maana unachambwa nilifikir zari atakupa mkopo unavyomsifia.
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Hii habari nimeiona katika website ya Joyce Kiria , Ni tukio la mwaka sijawahi hata kulifikiria, kwa maelezo zaidi na kujua mengi tembelea .....Talk Show ukaone yaliojiri huko msibani. Dah huyu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mama mzazi wa msanii wa kizazi kipya Joseph Haule amefariki katika hospital ya Tumbi. Kifo chake kemetokana na ajali ya gari huko Mbezi ,alikuwa anaenda dukani upande wa pili wa barabara ndo...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Back
Top Bottom