When Teddy Kalonga met Wesley Snipes

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
Huyu shori kumbe mashuhuri sana......opportunity hizi wakina Nyani ngabu wamezitafuta weee hawazipati...
attachment.php

kapiga bao kichizi......hater
wi-wesley-snipes-attends-prince-faisal-s-al-saud-of-the-saudi-arabian-royal-family-birthday-celebration-at-the-sky-bar-at-the-mondrian-hotel2.jpg

bwaha ha ha ha Wesley Snipes kanyimwa namba ya simu....

http://bossip.com/
 
Attachments

  • star.jpg
    star.jpg
    36.2 KB · Views: 3,263
Last edited:
Mpwa shori wa kawaida naona anajitengenezea jina huko. NN apate wapi chance ya kukutana nae huyo bana.
 
YOYO

Unamsema Mange Kimambi!! kukutana hata na OBAMA sio issue, issue ni una tshs au dollar au pesa kiasi gani?

Una hela??

Ndo muhimu hapa. Aisee beba mabox kwa bidii ukirudi huku utakuta hatubebi mabox na tuna drive Vogue mara X6 (Black Man's Wheel - BIMA)

We endekeza kukutana na Fresh prince of Bel air tu!
 
Akirudi ana dola 10,000 cash wakati age met zake wana drive hy 10 thou na wana vijumba 30 thous huwa wanadata na kurudi wamechanganyikiwa wanaenda olewa vibabu.....wakatege urithi pasu kwa pasu....shule hawaendi......
 
???? Why whenever we talk about TK and her success, someone has to mention huyo mange kimavi!?! What does she has to do with Teddy? Honest, there is no comparison. I am so tired of hearing her name. She is obvious just jealous of TK, and just talks shit as a hater. Decent people support Teddy because we know the truth. She a nice lady, doing well, representing! But it gets annoying when I see people talk lies about her for no good reason. It doesn't make sense, ni mtanzania mwenzetu.
 
Snipes ametoka mazoezini nini? Mbona kapiga track suit wakate wanzake wapo formal??
 
Hilo pigo la Snipes ni la kivyake vyake,mmh kuna umuhimu wakuja na zeutamu mpya ili haya yoote yakaongelewe hukooooooo
 
YOYO

Unamsema Mange Kimambi!! kukutana hata na OBAMA sio issue, issue ni una tshs au dollar au pesa kiasi gani?

Una hela??

Ndo muhimu hapa. Aisee beba mabox kwa bidii ukirudi huku utakuta hatubebi mabox na tuna drive Vogue mara X6 (Black Man's Wheel - BIMA)

We endekeza kukutana na Fresh prince of Bel air tu!
mkuu TK keshapiga bao.....
 
Hilo pigo la Snipes ni la kivyake vyake,mmh kuna umuhimu wakuja na zeutamu mpya ili haya yoote yakaongelewe hukooooooo
mazee hii ni celebrity forum......kama na wewe ni celeb bai jiweke humu haina kweeere.....wazee huyu shori anajitahidi sana tumpe support......kukutana na mastar wa majuu si kazi ndogo.....muulizeni nyani ngabu anamuonaga brandy kwa mbaali hawezi kumfikia
 
Akirudi ana dola 10,000 cash wakati age met zake wana drive hy 10 thou na wana vijumba 30 thous huwa wanadata na kurudi wamechanganyikiwa wanaenda olewa vibabu.....wakatege urithi pasu kwa pasu....shule hawaendi......
yoote haya yanatoka wapi mkuu? yaaani picha tu inakufanya u hate namna hio?
 
Back
Top Bottom