FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Prettyliar, Jun 12, 2013.

 1. P

  Prettyliar Member

  #1
  Jun 12, 2013
  Joined: Jun 12, 2013
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani BBA mnaifwatilia.....Feza mapenzi sasa yaamia kwa Oneal baada ya kuona Elikem ni playboy....Nando naye kama kampotezea Dillish...
   
 2. kyangara

  kyangara Member

  #2
  Jun 13, 2013
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mh,uongo!
   
 3. T

  Tuliwonda Senior Member

  #3
  Jun 15, 2013
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 121
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mmhh! Mimi nafuatilia bba, sidhani kama kahamishia mapenzi bali naona wote wawili wana vutiwa na kila upande, kama unakumbuka fedha alimwambia big kuwa amependa kujiamini
  kwa oneal tangu siku ya kwanza, pia wamekuwa wakipigiana vote za crush date! Kiasi oneal kuwaomba wenzie nxt wk wampigie fedha bila kujua jana angetia maguu Rubies! Back to Elikem, feza alishasema hawezi kudate mtu wa umri wa chini yake! Ndo kisa cha elikem kujiweka kwa Fatima! Ila mm naamini kama kweli anapenda basi roho yake iko kwa Feza! Si pokello wala fatima. Nando aliomba kwa dilish na mtt akatoa nje. Vikaisha peacefully. Hata kwenye presentation yake alisema hawezi kumchukia demu kwa kumnyima cookies zake!! All in all jana feza kaniboaaa! Ndo nn kujilewesha vile sasa? Yaani I waz big fan of her, alinifanya nibadiri mtazamo wangu juu ya mamiss wetu ila jana kanifanya nimtazame upya kabla sijampa support yangu kwa 100%! Eishh yaani hana soni kbs! Anaongea kupita kiasi, anafakamia mipombe utasema hajawahi kunywa?. Ilitakiwa jana asiingie hata kwa jaquzi! Anywe kiasi ili asome mazingira! Naamini oneal atakuwa amefadhaika sn, ukizingatia jmosi alivopanda palee juu na kucheza kama lap dancer!! Sidhani kama j3 atapona nomination for possible eviction.
   
 4. P

  Prettyliar Member

  #4
  Jun 15, 2013
  Joined: Jun 12, 2013
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmmh....unanisikitisha hapo kwa feza sikuona hiyo.....ila leo nimewaona wame chill kwa lounge wanaongea fresh na oneal ku confess his love for her...basi inabidi ajirekebishe jamani...but all in all they make a lovely couple
   
 5. Plesis

  Plesis JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2013
  Joined: Dec 24, 2012
  Messages: 502
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  duh! endeleeni kutupa update za BBA The Chase
   
 6. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2013
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  hii ni jumba la kutomb... tu leo naona kama feza ameshatomb... vile maana amelala na mshikaji leo, huu mchezo ungepigwa mrufuku tz maana hauna maana wanawazalilisha tu
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2013
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,818
  Likes Received: 1,620
  Trophy Points: 280
  WTF did I just read ...
   
 8. mossad007

  mossad007 JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2013
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 1,169
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Naomba kuuliza hiv ile VIP membership unakua unaona scene gan za tofaut na hii ya kawaida cz nahis km hawa couples are havin more than wat we see...
   
 9. P

  Prettyliar Member

  #9
  Jun 19, 2013
  Joined: Jun 12, 2013
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmh....acha uwongo...wameamka kitanda kimoja lakini hamna kilichotokea...hata ukiangalia kwenyeVIP section...embu usianze kumchafulia dada yetu jina
   
 10. P

  Prettyliar Member

  #10
  Jun 19, 2013
  Joined: Jun 12, 2013
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  U get to c all the dirty scenes...showerhour....the sexing etc...
   
 11. Verdy CB

  Verdy CB Senior Member

  #11
  Jun 19, 2013
  Joined: Mar 19, 2013
  Messages: 149
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Labda n mbinu za kuonekana na watu na kubaki muda mrefu hata ile yake ya kuoga na hakeem
   
 12. Heaven on Earth

  Heaven on Earth JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2013
  Joined: Mar 21, 2013
  Messages: 37,005
  Likes Received: 4,569
  Trophy Points: 280
  kwani umeshikiwa mtutu wa bunduki kuangalia......
  alietoka kunanilia...... ana alama usoni!!!!!!!
   
 13. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2013
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,372
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  Mwanzoni walikuwa wameweka uncut kwamba kama kudos iko live ila wametoa wamebakisha tu kuoga...najuuutaaaa dola 9 yangu, kwa sasa hakuna jipya zaidi ya kuona wakioga kitu ambacho kwangu mimi si kipya sana. May be wakirudisha mambo yetu yaleee ya kudos
   
 14. mossad007

  mossad007 JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2013
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 1,169
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Hahaha usinambie kumbe nothn mi walinambia kulipia mpka kwa crdt card nkaona mlolongo tena so which means watu wana do daily sema hatuonyeshwi.. Is it..??? Nliskia kina beverly na dilish wana wateta bolt and betty kua kila wakienda shawa wanapigana vitu
   
 15. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2013
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,372
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  Hawajaweka, kulikuwa na clip 3 za betty na bolt wakila vitu ndani ya sjui ndo mnaita jakuzi au vipi (la kule bafuni), moja kwenye shower zingine ndani ya blanket....ila wamezitoa zote. Ka betty kanaonekana kana ny...g mshindo
   
 16. P

  Prettyliar Member

  #16
  Jun 19, 2013
  Joined: Jun 12, 2013
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahhahaaa....ni kweli betty na bolt wamesha do mara nyingi sana....angalia video yao kwenye blog ya mpekuzi wakiwa bafuni....loh
   
 17. mossad007

  mossad007 JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2013
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 1,169
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Yaan sio tu mshindo kale inaonesha zake ni ny..g mbinuko mi skapendi ni ivi kanavotupigia kura watanzania shwaini kbsa i bet betty and Motamma must leave Sunday.. Lile li bolt ka baba lenye nyumba kutwa kitambi waziiii na kuvaaa vaa mataulo tu ..mxiuuuuu!!!!!!!!!!!
   
 18. mossad007

  mossad007 JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2013
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 1,169
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Unajua nlikua nahisi tu i wsnt sure na nahisi km feza alivolala na oneal sku ya kwanza alitekenywa mana asubuhi kwenye nomination aliamka na chupi nyeupeeeee bas....!!!!!!! Nando ananiboa kitu kimoja mvivu sana matokeo yake anakua easy target....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 19. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #19
  Jun 19, 2013
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,372
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  Wame do sana tu, hzo video walizoondoa alioneshwa hadi ametoa shuka yuko uchiiiiiii, moja walichange condom kama mara 3 hivi, ila ile ya kwenye bafu sidhani kama walitumia ndom. Betty anaweza kurudi na ujauzito hahahah
   
 20. P

  Prettyliar Member

  #20
  Jun 19, 2013
  Joined: Jun 12, 2013
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This evening it was almost unbearable how cute Feza and Oneal were together as they spent some quality time in the bedroom. The pair, who both had elephant animal headgear on, sat on opposite beds touching trunks; like two courting elephant calves. Aww, how adorable!

  The pair chatted with each other about trust. The Tanzanian assured her new love interest that she has complete faith in him as a person. The pair also talked about what has attracted them to each other. “Most guys try too hard but you don’t, that’s why I like you,” Feza said.

  But despite the Ruby twosome spending a lot of time together and clearly having great chemistry together; they have yet to make things official between them. Come on you two, what’s the hold up?
   
Loading...