KATIBU MUHTASI (SECRETARY) NAFASI 3.
Taasisi ya MUSTLEAD Inatangaza nafasi ya kazi ya katibu muhtasi(Secretary)
SIFA ZA MUOMBAJI:
1. Awe na elimu walau ya kidato cha nne.
2.Awe na ujuzi wa...
Leo katika mizinguko yangu nikajikuta nimefika huko uswahilini ukonga mombasa jilani na kikosi Cha kutuliza ghasia (ffu) basi nikapaki gari yangu land cruiser lc 300 zx
Basi nikashuka kwenye...
Mahakama ya Katiba nchini Senegal imetupilia mbali mswada uliokuwa unalenga kupunguza madaraka ya Rais na kuongeza yale ya Bunge.
Uamuzi huo wa Alhamisi ndio maendeleo ya hivi punde katika...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kuna kauli ilitokewa kwenye kikao Cha genge la wanaccm walioitwa wazee wa daresalama inayosema 'who are you ' sasa swali langu je kauli hiyo inafanya kazi? Hapa zingatia hatua ambazo US...
Nimejaribu kupitia na kuangalia maslahi ya walimu kwenye nchi za wenzetu(botswana, South Africa, Rwanda, Qatar n.k) nikagundua walimu wanalipwa vizuri mno kuliko wanavyolipwa kwetu
Nikaangalia...
Kuna mama fulani wa makamo anauza genge maeneo ya karibu na mtaani kwangu. Ni mama mcheshi kiasi. Huwa napita kununua matunda kwahiyo nimezoeana nae kidogo.
Wiki kadhaa zikizozipita, wikiend moja...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Baba Mtakatifu Leo XIV amemteua Mheshimiwa Padre Vincent Lawrence Mpwaji wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, leo Julai...
Kwema
Kuna baadhi ya vitabu nimewahi kusoma mwandishi anaeleza kuwa kila mwanaadamu ana asilimia ya ukichaa/uchizi kwenye akili yake na hii asilimia ya uchizi imejificha , na sometimes...
Habari wana JamiiForums,
Naomba msaada kufahamu zilipo ofisi za Baraza la Wataalamu wa Kemia Tanzania (Chemist Professionals’ Council) .
Nimeangalia taarifa za umma; sijaona anwani ya ofisi ya...
Wakuu najua ajira ni ngumu sana. Ila walau ushauri kwa wajuvi, penye nafuu kiajira baada ya kuhitimu. nina dogo matokeo yake ni one ya sita PCM, aende.
Civil
Mechanical
Electtical
Mineral
Data...
Toka nimeingia humu sikuwahi kufikiria nitapenda mtu, sikuwahi kufikiria Nitakuwa drawn kwa ID ya mtu maana nilikuwa najua maandishi haya reflect physical beauty...
Kumbe I was wrong, sikujua how...
watu wengi wamejaribu kutoa tabiri zao kuhusu timu gani itabeba ubingwa wa dunia na wengi kuishia kugonga mwamba kwakuwa timu walizotabiri zimeshaondolewa kwenye michuano ya world cup
Kabla...
Sijawahi kufikiria wala kudhani kuwa mazingira ya gym ni hatari kiasi hiki hadi niliposikiliza video hii hapo chini na kumshirikisha jamaa yangu mmoja ambaye anaenda gym mara kwa mara...
Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva liliyofanyika usiku wa kuamkia Julai 11 yalikuwa ya shangwe, burudani na kumbukumbu za safari ya muziki huo. Hata hivyo, tukio lililovuta hisia za wengi halikuwa...
Hivi jamani, mzazi mzima mwenye akili zako timamu, unajua kabisa binti yako anatoka nyumbani saa nne ya usiku amepigilia pamba za kikahaba, amejifunga kanga yake juu kuzuia macho ya majirani na...
Nimekumbwa na changamoto ya kifedha ambapo nilipokua nafanyia kazi wamenifanyia fitna nikafukuzwa na fitna hiyo ni baada ya mimi kujenga kajumba kangu mpaka hatua ya kupaua..
Wamenifanyia fitna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.